4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?


Hongera sana FL1,

Hili suala linaumiza sana. Mimi nimekuwa na maisha haya ninayoishi kwa sababu ya yale niliyoaona wakati nikiwa mtoto. Nikikumbuka huwa nalia machozi. Sitaki kabisa watoto wangu wayaone hayo, labda kama nimekufa na libwana jingine ndo linafanya hayo.

Mama yangu amebondwa sana mbele yetu. Very sad and painful experience.

Mimi siwezi kumpiga mke wangu. Ila kunyoosha mkono na kurusha kibao ilishatokea mara moja. Na hali ya kutamani kutoa kichapo inatokea mara nyingi tu. Lakini siwezi kumpa hata neno mbele za watu,.. hata akiniudhi namna gani. Mke wangu anahitaji heshima sana, of which my mom never got. Nawashimu wanawake wote ila ukweli uko pale pale kwamba wana maneno yao ambayo ni zaidi ya sumu ya cobra!

Tujadili haya mambo lakini tuwe realisitic badala ya ku-present TV images.
 

Bora umenisaidia Dark City, kama ni ndoa ambayao mwanamke aliihangaikia na gharama akaingia basi kweli anaweza kuwa na sauti kuliko hata mwanaume!lakini zile ndoa halisi za kwetu kiafrika, mwanamke utapokea tu kila wazo litokalo kwa baba!ukibisha sana basi ndo utapata kipondi kwa sana, nafasi ya mwanamke kuchangia wazo ni asilimia ndogo tu!
 
in any kind of life, kupigana regardless of jinsia yako, ni ujinga wa kijinga kutoka kwenye mawazo yamjinga

cha maana ni kuavoid confrontations

Vipi kina Tyson na Evander?
 
Nitumie bathi kwa njia ya posta shost ..umenitamanisha hii kinywaji ...

nasikia hiki kinywaji kinapandisha sana maruhani???(kinaongeza sexual stimulation), Hebu nijuze dada!!
 

Na wewe ni mmoja wa wateule ...post yako tamu kama asali
 

Kuna vitu vitachukua muda sana kuisha kwenye jamii zetu. Kimojawapo ni huu mfumo dume. Wababa wengi wa kiafrika wataendelea kuwaburuza wake zao kwa muda mrefu. Tunahitaji kuwasaidia watoto wetu (boys and girls) ili wasije kurudi huko. Lakini wale wanaokulia kijijini na kuishi huko, itawachukua muda mrefu sana kubadilika. Ila mabadiliko yakishaanza itasaidia. Hata hivyo itachukua muda sana.
 
nasikia hiki kinywaji kinapandisha sana maruhani???(kinaongeza sexual stimulation), Hebu nijuze dada!!

samahani mkuu...wewe ni he/she? Natanguliza samahani kama nimekukwaza!
 



kaka, thanks for being realistic!
 
nasikia hiki kinywaji kinapandisha sana maruhani???(kinaongeza sexual stimulation), Hebu nijuze dada!!

Hii ni Juice bwana Amarula ndo nasikia inapandisha maruhani me sina hakika Bacha:rain:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…