Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni mmoja wa wateule ...post yako tamu kama asali
kaka, thanks for being realistic!
:doh::doh::doh:
Muda umefika, tena umefika sasa
wa kuelekea freedom...
pale pembeni ya seven up
kupata kongoro swafi
kwa maandalizi ya boogaloo
wallah leo arusha tamu sana
hali ya hewa safi sana na nina hamu sana ya kula konyagi
hapo pa pink sister naona kama unatania!Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !
NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
nitalia siku nzima.
Poa da FL1,
Mwombe mod watuwekee poll ili tuone watu wansemaje.
Sipendi kuongelea haya mambo ila kuna watu wananiudhi kwa kuyachukulia kijuu juu. E.g mtu anasema kuwa mwanamume anayempiga mke wake ni mjinga. That's too simplified. Kuna sababu nyingi za watu kupigana na kwahiyo tujadili mada.
Tupo wengine hatupendi kupiga ila hatuondoi uwezekano wa kupiga kwa sababu hatuko tayari kutoa adhabu za aina nyingine. Hatuwezi wote kufanana. Lazima wajinga wachace tuwepo. Ila tusionekane kana kwamba ni viumbe kutoka Pluto au Mars.

He! utaililia? Pole!😛reggers:
He! utaililia? Pole!😛reggers:
Usisahau ku-file basi.....:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
QK,
Slap tu (definition: A sharp blow made with the open hand or with a flat object), ulie siku nzima? Je ukipewa kisago hadi kuota vinundu kila kona?
hapo pa pink sister naona kama unatania!
itawezekanaje wkt hata akinisogelea nitamsukumia mbali.
asante.lkn sitaililia,japo sijui ni nini.
Usisahau ku-file basi.....:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
kwa nini anipige kofi wkt kila siku anasema ananipenda,lazima nilie sana kwa uchungu.
naskia geoff atakua rg leo... natamani ningekua dar aiseeKamanda umenifanya niangalie saa ukutani..............Kwa heri mkoloni!