4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Na wewe ni mmoja wa wateule ...post yako tamu kama asali

Poa da FL1,

Mwombe mod watuwekee poll ili tuone watu wansemaje.

kaka, thanks for being realistic!

Sipendi kuongelea haya mambo ila kuna watu wananiudhi kwa kuyachukulia kijuu juu. E.g mtu anasema kuwa mwanamume anayempiga mke wake ni mjinga. That's too simplified. Kuna sababu nyingi za watu kupigana na kwahiyo tujadili mada.

Tupo wengine hatupendi kupiga ila hatuondoi uwezekano wa kupiga kwa sababu hatuko tayari kutoa adhabu za aina nyingine. Hatuwezi wote kufanana. Lazima wajinga wachace tuwepo. Ila tusionekane kana kwamba ni viumbe kutoka Pluto au Mars.
 
Muda umefika, tena umefika sasa
wa kuelekea freedom...
pale pembeni ya seven up
kupata kongoro swafi
kwa maandalizi ya boogaloo
wallah leo arusha tamu sana

hali ya hewa safi sana na nina hamu sana ya kula konyagi
 
Kamanda umenifanya niangalie saa ukutani..............Kwa heri mkoloni!
 
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
hapo pa pink sister naona kama unatania!
itawezekanaje wkt hata akinisogelea nitamsukumia mbali.
 
Poa da FL1,

Mwombe mod watuwekee poll ili tuone watu wansemaje.

Sipendi kuongelea haya mambo ila kuna watu wananiudhi kwa kuyachukulia kijuu juu. E.g mtu anasema kuwa mwanamume anayempiga mke wake ni mjinga. That's too simplified. Kuna sababu nyingi za watu kupigana na kwahiyo tujadili mada.

Tupo wengine hatupendi kupiga ila hatuondoi uwezekano wa kupiga kwa sababu hatuko tayari kutoa adhabu za aina nyingine. Hatuwezi wote kufanana. Lazima wajinga wachace tuwepo. Ila tusionekane kana kwamba ni viumbe kutoka Pluto au Mars.

Aisee mie hata kunyanyua mkono kumpiga mtu si mtoto wala mkubwa siwezi! Jamn jaribuni kuzicontrol hasira zenu wakaka.
 
Poa da FL1,

Mwombe mod watuwekee poll ili tuone watu wansemaje.

Sipendi kuongelea haya mambo ila kuna watu wananiudhi kwa kuyachukulia kijuu juu. E.g mtu anasema kuwa mwanamume anayempiga mke wake ni mjinga. That's too simplified. Kuna sababu nyingi za watu kupigana na kwahiyo tujadili mada.

Tupo wengine hatupendi kupiga ila hatuondoi uwezekano wa kupiga kwa sababu hatuko tayari kutoa adhabu za aina nyingine. Hatuwezi wote kufanana. Lazima wajinga wachace tuwepo. Ila tusionekane kana kwamba ni viumbe kutoka Pluto au Mars.

tatizo ni kwamba hoja imetolewa kwahiyo alie ndani na hata nje ya ndoa wote wana ruksa kuchangia na ndio hapo mawazo mengine yasiyo na uzito wowote yanapojipenyeza!
 
Its on, its on , its on and bring it on because will be on
 
QK,

Slap tu (definition: A sharp blow made with the open hand or with a flat object), ulie siku nzima? Je ukipewa kisago hadi kuota vinundu kila kona?

kwa nini anipige kofi wkt kila siku anasema ananipenda,lazima nilie sana kwa uchungu.
 
hapo pa pink sister naona kama unatania!
itawezekanaje wkt hata akinisogelea nitamsukumia mbali.

Nimemuuliza mtu akanambia yeye atamkiss na kumwambia I love u ,eti next tym jamaa hatarudia kufanya hivyo na kujiuliza kwa nini nimewasha kibao akanambia i love u
 
Back
Top Bottom