FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #101
alivyorudi alinionea huruma, kibaya najua ni kweli nimemkosea ila ilikuwa nakuja juu juu tu ili mradi...ilini cost.
week bila mawasiliano naweza kuugua mie
I suggest if it happens the best way is to keep quite and take your BIBLE and start reading it after sometime he will come back to you saying sorry i didn't meant to slap you sasa hapo ndio mnaanza kucompromise na kuanza kumueleza thats not the right way mnayamaliza on the spot, you smile, you hug each other and say "I love you" mambo yanaisha vizuri
Sisi huwa tunateseka sana moyoni sijui na wao huwa wanateseka kama sie ..?
hahahah Acid kweli wewe Ni Acid una mpango wa kumwaga sumu kwenye mahusiano ya watu 😛out:Hii mada ishachakachuliwa (na wanaume) basi na mie ndo naitia kabisaa maji ya tope yaishe!!!!
Dume likikupiga kibao we litandike vichwa kama saba hivi, hapafu unampa vifuti viwili na ukimaliza hapo unalicha kipepsi ya mgongo... na bonge la ngwara
likiamka unalituma likakusongee ugali aaaiiiiiiiiiii.... :A S wink::bump2::crazy:
Wazo zuri sana, ila is it a first or a 101th slap? Manake kwa wengine mpaka bible itachakaa kwa kupekuliwa if the number of 'milapuos' are compared to the bible perusals!
Ndo maana mm nikakushtukia leo vp mbona unashusha mipini ya uhakika kumbe lol...
Lakini jamaa akikuzaba kibao inamaanisha anadumisha mila na anakupenda sana keep it up.
Sisi huwa tunateseka sana moyoni sijui na wao huwa wanateseka kama sie ..?
hatakiwi kunilabua bwana, na kwake yeye kunilabua anaona atakuwa ameuvua uanaume wake....lol
Hii mada ishachakachuliwa (na wanaume) basi na mie ndo naitia kabisaa maji ya tope yaishe!!!!
Dume likikupiga kibao we litandike vichwa kama saba hivi, hapafu unampa vifuti viwili na ukimaliza hapo unalicha kipepsi ya mgongo... na bonge la ngwara
likiamka unalituma likakusongee ugali aaaiiiiiiiiiii.... :A S wink::bump2::crazy:
baadhi yao wana ile kuumia sema c unajua tena, anatumia uanaume wake hapo, cc wadhaifu bac inkuumaaa wweeee unakosa hata hamu ya kula, lakini FL omba ickutokee, jamaa alinikomesha.
Haya bana lakini kibongo bongo mm naamini hivyo maana nimewahi fanya hivyo na ninapendwa mara dufu nikimzaba mtu
Hahahaha ukipigwa na kipisi cha dhahabu unasahau yote
Na kwanini mwanaume amlabue mwanamke? Mila haziruhusu...Mwanamke ana adhabu zake za kumpa, si kumlabua!!hatakiwi kunilabua bwana, na kwake yeye kunilabua anaona atakuwa ameuvua uanaume wake....lol
watu tunatofautiana eeeh, yani unilabue halafu nikupende zaidi? itachukua kwanza muda kunitoka moyoni.
sasa alijitahidi nirudi kwenye hali ya kawaida, ilichukua muda.
sasa alijitahidi nirudi kwenye hali ya kawaida, ilichukua muda.
ndio kabisa my love, yaani kwanza halikuamini kama na mipango ya ndoa yote nimeictisha, "ooh jamani nimekutambulisha nyumbani itakuwaje"...khaa univunje kiuno kisa mamako/babako/na ndugu wamenijua?
Na kwanini mwanaume amlabue mwanamke? Mila haziruhusu...Mwanamke ana adhabu zake za kumpa, si kumlabua!!
Hahahaha mpwa bana hivi ni ki computer zaidi au kibinadamu zaidi?
good of you mambo ya kila mtu kuwa juu sio kama mmoja akija juu mwingine ajishushe hapo ndio vitu vitaenda. Nyamayao una uzoefu sana na ndoa i see kwenye sredi zakohilo nimeshafanikiwa Funzadume, cku hizi tukileteana hitilafu kama naona vipi bac nitakaa kimya cmjibu hata aulize nini, unajua hii mambo ya kujiana juu juu nimeona haina faida kabisa, so cku hizi nikimuona yupo juu mie nashuka chini kwa wakati huo mpaka tutulie toyaongee, imesidia sana hii....