4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

alivyorudi alinionea huruma, kibaya najua ni kweli nimemkosea ila ilikuwa nakuja juu juu tu ili mradi...ilini cost.

Sisi huwa tunateseka sana moyoni sijui na wao huwa wanateseka kama sie ..?
 
I suggest if it happens the best way is to keep quite and take your BIBLE and start reading it after sometime he will come back to you saying sorry i didn't meant to slap you sasa hapo ndio mnaanza kucompromise na kuanza kumueleza thats not the right way mnayamaliza on the spot, you smile, you hug each other and say "I love you" mambo yanaisha vizuri

Wazo zuri sana, ila is it a first or a 101th slap? Manake kwa wengine mpaka bible itachakaa kwa kupekuliwa if the number of 'milapuos' are compared to the bible perusals!
 
Hii mada ishachakachuliwa (na wanaume) basi na mie ndo naitia kabisaa maji ya tope yaishe!!!!

Dume likikupiga kibao we litandike vichwa kama saba hivi, hapafu unampa vifuti viwili na ukimaliza hapo unalicha kipepsi ya mgongo... na bonge la ngwara

likiamka unalituma likakusongee ugali aaaiiiiiiiiiii.... :A S wink::bump2::crazy:
hahahah Acid kweli wewe Ni Acid una mpango wa kumwaga sumu kwenye mahusiano ya watu 😛out:
 
Wazo zuri sana, ila is it a first or a 101th slap? Manake kwa wengine mpaka bible itachakaa kwa kupekuliwa if the number of 'milapuos' are compared to the bible perusals!

Mazoea hatuna si unajua watu wamezoea sijui UWAZI, IJUMAA WIKIENDI, HAMU, atakumbuka BIBLE saa ngapi
 
Ndo maana mm nikakushtukia leo vp mbona unashusha mipini ya uhakika kumbe lol...
Lakini jamaa akikuzaba kibao inamaanisha anadumisha mila na anakupenda sana keep it up.

hatakiwi kunilabua bwana, na kwake yeye kunilabua anaona atakuwa ameuvua uanaume wake....lol
 
Sisi huwa tunateseka sana moyoni sijui na wao huwa wanateseka kama sie ..?

baadhi yao wana ile kuumia sema c unajua tena, anatumia uanaume wake hapo, cc wadhaifu bac inkuumaaa wweeee unakosa hata hamu ya kula, lakini FL omba ickutokee, jamaa alinikomesha.
 
hatakiwi kunilabua bwana, na kwake yeye kunilabua anaona atakuwa ameuvua uanaume wake....lol

Haya bana lakini kibongo bongo mm naamini hivyo maana nimewahi fanya hivyo na ninapendwa mara dufu nikimzaba mtu
 
Hii mada ishachakachuliwa (na wanaume) basi na mie ndo naitia kabisaa maji ya tope yaishe!!!!

Dume likikupiga kibao we litandike vichwa kama saba hivi, hapafu unampa vifuti viwili na ukimaliza hapo unalicha kipepsi ya mgongo... na bonge la ngwara

likiamka unalituma likakusongee ugali aaaiiiiiiiiiii.... :A S wink::bump2::crazy:

haa Acid kweli kiboko, ningempata wa hivyo nahc mie mwenyewe ningekuwa wa kwanza kumchokoza ili nimtwangee...
 
baadhi yao wana ile kuumia sema c unajua tena, anatumia uanaume wake hapo, cc wadhaifu bac inkuumaaa wweeee unakosa hata hamu ya kula, lakini FL omba ickutokee, jamaa alinikomesha.

Hahahaha ukipigwa na kipisi cha dhahabu unasahau yote
 
Haya bana lakini kibongo bongo mm naamini hivyo maana nimewahi fanya hivyo na ninapendwa mara dufu nikimzaba mtu

watu tunatofautiana eeeh, yani unilabue halafu nikupende zaidi? itachukua kwanza muda kunitoka moyoni.
 
hatakiwi kunilabua bwana, na kwake yeye kunilabua anaona atakuwa ameuvua uanaume wake....lol
Na kwanini mwanaume amlabue mwanamke? Mila haziruhusu...Mwanamke ana adhabu zake za kumpa, si kumlabua!!
 
watu tunatofautiana eeeh, yani unilabue halafu nikupende zaidi? itachukua kwanza muda kunitoka moyoni.

Kwa wale wanao jua nini maana ya kupenda na hawapendo kwa kuigiza hii mbona sana tu

sasa alijitahidi nirudi kwenye hali ya kawaida, ilichukua muda.

Naona alishindwa kukupatie kukurudisha katika hali yako ya kawaida kama kukupiga na Tenge la kinaigeria kutolewa out maeneo ambayo hujawahi fikiria n.k
 
sasa alijitahidi nirudi kwenye hali ya kawaida, ilichukua muda.

Leo umekuwa mpole sana....hiyo ndiyo sufa bora ya mwanamke....Leo umenifurahisha...:decision: Hebu twende PM huko tutongozane.😛reggers:
 
ndio kabisa my love, yaani kwanza halikuamini kama na mipango ya ndoa yote nimeictisha, "ooh jamani nimekutambulisha nyumbani itakuwaje"...khaa univunje kiuno kisa mamako/babako/na ndugu wamenijua?

waambi kwanza zilikuja barua za uchumba 6 kisha ndo ikakubaliwa moja........yeye anadhani kitambulishwa ndo kuoa? LOL ngoja nimkamate kwenye kona na do ze nidiful...how come alidare kuslap bila utaratibu mwili wako mwororo?
 
Na kwanini mwanaume amlabue mwanamke? Mila haziruhusu...Mwanamke ana adhabu zake za kumpa, si kumlabua!!

nimekupenda ghafla, nadhani wadudu leo kichwani wamefariki...lol
 
hilo nimeshafanikiwa Funzadume, cku hizi tukileteana hitilafu kama naona vipi bac nitakaa kimya cmjibu hata aulize nini, unajua hii mambo ya kujiana juu juu nimeona haina faida kabisa, so cku hizi nikimuona yupo juu mie nashuka chini kwa wakati huo mpaka tutulie toyaongee, imesidia sana hii....
good of you mambo ya kila mtu kuwa juu sio kama mmoja akija juu mwingine ajishushe hapo ndio vitu vitaenda. Nyamayao una uzoefu sana na ndoa i see kwenye sredi zako
 
Back
Top Bottom