Leo umekuwa mpole sana....hiyo ndiyo sufa bora ya mwanamke....Leo umenifurahisha...:decision: Hebu twende PM huko tutongozane.😛reggers:
heheh....wakati una-do ze nidful si ulikuwa unafurahia lakini mwenyekiti.....
good of you mambo ya kila mtu kuwa juu sio kama mmoja akija juu mwingine ajishushe hapo ndio vitu vitaenda. Nyamayao una uzoefu sana na ndoa i see kwenye sredi zako
Hivi dada na kaka wakipendana, mila zinaruhusu kifanyike nini vile?nimekupenda ghafla, nadhani wadudu leo kichwani wamefariki...lol
mhhh itachukua muda mrefu....tufanye tunachotakiwa kufanya baada ya hapo ndio unitongoze.
mhhh itachukua muda mrefu....tufanye tunachotakiwa kufanya baada ya hapo ndio unitongoze.
Hivi dada na kaka wakipendana, mila zinaruhusu kifanyike nini vile?
Kwa wale wanao jua nini maana ya kupenda na hawapendo kwa kuigiza hii mbona sana tu
Naona alishindwa kukupatie kukurudisha katika hali yako ya kawaida kama kukupiga na Tenge la kinaigeria kutolewa out maeneo ambayo hujawahi fikiria n.k
Hivi dada na kaka wakipendana, mila zinaruhusu kifanyike nini vile?
Tuanze kuchakachua kabla mafuta hayajaingia kisimani siyo?:tonguez::tonguez:
Hivi dada na kaka wakipendana, mila zinaruhusu kifanyike nini vile?
Nina jirani yangu ambaye kwa kweli anasikitisha mno, yeye na mumewe wote ni Wakurya (wenyewe msiniue, hili hamuwezi kulipinga kamwe), I think kwao the slaps have advanced to another level. Mume anapiga mpaka nakosa mfananisho/ulinganisho. Mkewe alikuwa mjamzito, anamfungia mlango analala nje (I mean nje, sio upenuni mwa nyumba), na anapiga makelele mtaa wote tunasikia..nasema sikutaki, toka nyumbani kwangu! Na anawaambia wadogo zake (yeye mume), wahakikishe hawamruhusu kuingia ndani. Na yeye mke anasema anajua mumewe anafanya hivyo coz anajua kuwa hana pa kwenda (yeye mdada hana kazi, hana biashara). Ila ninachomsifu, ameanza kuweka mtaji wa shule (the QTs), akiwa na malengo kuwa atakapoweza hata kupata ajira ya kufanya usafi mahali, ndio atajua achukue uamuzi gani! Na ni mke ambaye ana watoto wa4 na huyo baba, anasema hawezi kuondoka coz hao watoto ni wadogo ana hofu na uangalizi wake (na ni wadogo haswa, wapo ambao hawajaanza hata chekechea).
Sasa hapa, pamoja na imani, lakini si utapekua bible mpaka?
Sasa hapa, pamoja na imani, lakini si utapekua bible mpaka?
kweli ni mateso, lakini jamani kwanini mtu anasema hana pa kwenda? kuna wakati mtu tu inabidi ukubali kwamba haiwezekani tena, kuna option ya kurudi nyumbani na kuwa mkulima, kujishughulisha na vibarua na maisha yatasonga pole pole,inabidi wakakti mwingine mtu ukaze roho, lakini inabidi tu iwe, ningemuachia watoto nikatafute maisha jamani.
Kwa yeye, ndio nimeelewa kwa nini wazazi wa zamani walikuwa hawaondoki, no matter what. Watoto ni wadogo mno kuwaacha.
Ilitokea kwa jamaa tulikua nae chuo (ilikua ni g/f, b/f status)....jamaa alimchapa msichana vibao vya kutosha, kisha kwamwambia sikuachi...:couch2:
nina jirani yangu ambaye kwa kweli anasikitisha mno, yeye na mumewe wote ni wakurya (wenyewe msiniue, hili hamuwezi kulipinga kamwe), i think kwao the slaps have advanced to another level. Mume anapiga mpaka nakosa mfananisho/ulinganisho. Mkewe alikuwa mjamzito, anamfungia mlango analala nje (i mean nje, sio upenuni mwa nyumba), na anapiga makelele mtaa wote tunasikia..nasema sikutaki, toka nyumbani kwangu! Na anawaambia wadogo zake (yeye mume), wahakikishe hawamruhusu kuingia ndani. Na yeye mke anasema anajua mumewe anafanya hivyo coz anajua kuwa hana pa kwenda (yeye mdada hana kazi, hana biashara). Ila ninachomsifu, ameanza kuweka mtaji wa shule (the qts), akiwa na malengo kuwa atakapoweza hata kupata ajira ya kufanya usafi mahali, ndio atajua achukue uamuzi gani! Na ni mke ambaye ana watoto wa4 na huyo baba, anasema hawezi kuondoka coz hao watoto ni wadogo ana hofu na uangalizi wake (na ni wadogo haswa, wapo ambao hawajaanza hata chekechea).
Sasa hapa, pamoja na imani, lakini si utapekua bible mpaka?
Duh huyo baba amezidi lakini nyie majirani mkiingilia inakula kwenu maana kesho mtaona wanacheka pamoja na kubusiana.
Hapa makofi tunamaanisha ile kauli ya kofi la mpenzi haliumi sio kipigo cha mbwa mwizi.
Duh huyo baba amezidi lakini nyie majirani mkiingilia inakula kwenu maana kesho mtaona wanacheka pamoja na kubusiana.
Hapa makofi tunamaanisha ile kauli ya kofi la mpenzi haliumi sio kipigo cha mbwa mwizi.
Hiyo tiba labda aifanye Yesu mwenyewe! Kaka katenguliwa kiuno na dadaye....ni breaking news!huko mbali, mbona unarefusha mambo hivyo, au unaogopa nitakutengua kiuno?