4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Leo umekuwa mpole sana....hiyo ndiyo sufa bora ya mwanamke....Leo umenifurahisha...:decision: Hebu twende PM huko tutongozane.😛reggers:

mhhh itachukua muda mrefu....tufanye tunachotakiwa kufanya baada ya hapo ndio unitongoze.
 
heheh....wakati una-do ze nidful si ulikuwa unafurahia lakini mwenyekiti.....

definitely yes, lakini ndonimepata hiyo alart, natafuta ushauri, hivi umesema nifanyeje tena?
 
good of you mambo ya kila mtu kuwa juu sio kama mmoja akija juu mwingine ajishushe hapo ndio vitu vitaenda. Nyamayao una uzoefu sana na ndoa i see kwenye sredi zako

Funzadume...ndoa imenikomaza kwa kweli, lakini nafurahia sasa na enjoy!
 
mhhh itachukua muda mrefu....tufanye tunachotakiwa kufanya baada ya hapo ndio unitongoze.

Tuanze kuchakachua kabla mafuta hayajaingia kisimani siyo?:tonguez::tonguez:
 
Kwa wale wanao jua nini maana ya kupenda na hawapendo kwa kuigiza hii mbona sana tu

Naona alishindwa kukupatie kukurudisha katika hali yako ya kawaida kama kukupiga na Tenge la kinaigeria kutolewa out maeneo ambayo hujawahi fikiria n.k

ilinichukua muda yale maumivu kuisha, yani nilitamani kama angenifanyia kitu kingine lakini sio kukata mawacliano na me kwa week nzima, hapo nipo mwenyewe nyumbani, kaka alienda kwao likizo, watoto skul...cna wa kuongea nae humo ndani, yaani wacha tu....alivyorudi yani kwa maumivu niliyokuwa nayo wala ckuongea nae zaidi ya kumwona na kuliaa tu.
 
Nina jirani yangu ambaye kwa kweli anasikitisha mno, yeye na mumewe wote ni Wakurya (wenyewe msiniue, hili hamuwezi kulipinga kamwe), I think kwao the slaps have advanced to another level. Mume anapiga mpaka nakosa mfananisho/ulinganisho. Mkewe alikuwa mjamzito, anamfungia mlango analala nje (I mean nje, sio upenuni mwa nyumba), na anapiga makelele mtaa wote tunasikia..nasema sikutaki, toka nyumbani kwangu! Na anawaambia wadogo zake (yeye mume), wahakikishe hawamruhusu kuingia ndani. Na yeye mke anasema anajua mumewe anafanya hivyo coz anajua kuwa hana pa kwenda (yeye mdada hana kazi, hana biashara). Ila ninachomsifu, ameanza kuweka mtaji wa shule (the QTs), akiwa na malengo kuwa atakapoweza hata kupata ajira ya kufanya usafi mahali, ndio atajua achukue uamuzi gani! Na ni mke ambaye ana watoto wa4 na huyo baba, anasema hawezi kuondoka coz hao watoto ni wadogo ana hofu na uangalizi wake (na ni wadogo haswa, wapo ambao hawajaanza hata chekechea).

Sasa hapa, pamoja na imani, lakini si utapekua bible mpaka?
 
kweli ni mateso, lakini jamani kwanini mtu anasema hana pa kwenda? kuna wakati mtu tu inabidi ukubali kwamba haiwezekani tena, kuna option ya kurudi nyumbani na kuwa mkulima, kujishughulisha na vibarua na maisha yatasonga pole pole,inabidi wakakti mwingine mtu ukaze roho, lakini inabidi tu iwe, ningemuachia watoto nikatafute maisha jamani.
 
Duh huyo baba amezidi lakini nyie majirani mkiingilia inakula kwenu maana kesho mtaona wanacheka pamoja na kubusiana.
Hapa makofi tunamaanisha ile kauli ya kofi la mpenzi haliumi sio kipigo cha mbwa mwizi.
 
Ndugu yangu mengine hayaelezeki, hao wa nyumbani ni yeye mwenyewe ndie anayefanya kazi tena ya kukusanya hata mavazi ya kupeleka huko tena. People going without meal, is not a breaking news to them.

Kwa yeye, ndio nimeelewa kwa nini wazazi wa zamani walikuwa hawaondoki, no matter what. Watoto ni wadogo mno kuwaacha.
 
Ndoa hutakiwi kukimbia lazima ugangamale
Chonde chonde msije mkashawisshi mama wa watu akimbie.
Aliapa kuwa wataishi kwa shida na raha sasa shida ndo hizo akazane kumwomba Mungu abadiri tabia ya mme.
 
Ilitokea kwa jamaa tulikua nae chuo (ilikua ni g/f, b/f status)....jamaa alimchapa msichana vibao vya kutosha, kisha kwamwambia sikuachi...:couch2:

Na ndio dawa yao hawa, usipofanya hivi wanakudgharau sana kimoyomoyo
 
nina jirani yangu ambaye kwa kweli anasikitisha mno, yeye na mumewe wote ni wakurya (wenyewe msiniue, hili hamuwezi kulipinga kamwe), i think kwao the slaps have advanced to another level. Mume anapiga mpaka nakosa mfananisho/ulinganisho. Mkewe alikuwa mjamzito, anamfungia mlango analala nje (i mean nje, sio upenuni mwa nyumba), na anapiga makelele mtaa wote tunasikia..nasema sikutaki, toka nyumbani kwangu! Na anawaambia wadogo zake (yeye mume), wahakikishe hawamruhusu kuingia ndani. Na yeye mke anasema anajua mumewe anafanya hivyo coz anajua kuwa hana pa kwenda (yeye mdada hana kazi, hana biashara). Ila ninachomsifu, ameanza kuweka mtaji wa shule (the qts), akiwa na malengo kuwa atakapoweza hata kupata ajira ya kufanya usafi mahali, ndio atajua achukue uamuzi gani! Na ni mke ambaye ana watoto wa4 na huyo baba, anasema hawezi kuondoka coz hao watoto ni wadogo ana hofu na uangalizi wake (na ni wadogo haswa, wapo ambao hawajaanza hata chekechea).

Sasa hapa, pamoja na imani, lakini si utapekua bible mpaka?

haya sasa mateso yamevuka mpaka
 
Duh huyo baba amezidi lakini nyie majirani mkiingilia inakula kwenu maana kesho mtaona wanacheka pamoja na kubusiana.
Hapa makofi tunamaanisha ile kauli ya kofi la mpenzi haliumi sio kipigo cha mbwa mwizi.

Hapo sasa! Ila mateso ya huyu dada, kama ni msalaba wa ndoa, mmh, wa mwenzetu wa chuma cha pua.
 
huko mbali, mbona unarefusha mambo hivyo, au unaogopa nitakutengua kiuno?
Hiyo tiba labda aifanye Yesu mwenyewe! Kaka katenguliwa kiuno na dadaye....ni breaking news!
 
Back
Top Bottom