FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #161
halafu kinachoniumaga zaidi ni kwamba kabla tanga halijaanuliwa ameshajua nani ata cover nafac yako, mtoto wa mwanamke mwenzangu haniui kwa kweli, nikaacha wanangu wanataabika.
Sasa hommie unagangamala mpaka nyumba ndogo inajaa?
nyamayao kula tano,hilo ndio hasaa linalotuua.mbaya zaidi ukiamua kuwa strong na kutoka ktk ndoa ya mateso wanawake wenzio ndio watakua wa kwanza kukupa label zote mbaya.wkt ilibidi tupeane moyo,ndo mana wengi wanaogopa kuondoka maana akiondoka inakua ajiandae tena kukabiliana na kejeli na dharau za jamii,so sad.
😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
Sasa hommie unagangamala mpaka nyumba ndogo inajaa?
huu ni unyonge ambao tunatakiwa tujikomboe inaumiza sana unafanya kama ngoma
hommie umesoma katikati ya mistari au kama ilivyoandikwa? manake hapo mhusika ni Mrs wangu Nyamayao hapo .....ukimtajia nyumba ndogo hapa unatafuta balaa LOL
sio unyonge i see ni ujinga i guess:a s 13:.yaani unafanywa ngoma uko tu hapo hapo.na yeye atazidi kupiga coz anajua wee mnyonge.say no to kipondo ladiez
Akishanipiga, cha kufanya nitakijua hapo hapo, kwani itategemea amenipigaje? Hata hivyo sijapigwa muda mrefu sana.
sio unyonge i see ni ujinga i guess:A S 13:.yaani unafanywa ngoma uko tu hapo hapo.na yeye atazidi kupiga coz anajua wee mnyonge.say no to kipondo ladiez
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !
NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
Nyinyi ladies wa JF sikilizeni,ukipigwa na mumeo it suffices to say:Ahsante,kofi la mpenzi haliumizi.Maisha yanasonga mbele.
Anipige mimi mtoto? mwanaume anaempiga mwanamke ni mjinga
no to kipondo.....
hommie umesoma katikati ya mistari au kama ilivyoandikwa? manake hapo mhusika ni Mrs wangu Nyamayao hapo .....ukimtajia nyumba ndogo hapa unatafuta balaa LOL
mhhh itachukua muda mrefu....tufanye tunachotakiwa kufanya baada ya hapo ndio unitongoze.
kama umeshawahi kwenda musoma, au umebahatika kuona maisha ya ndoa ya watu wa huko, ungejuta kusema Say NO To Kipondo!kule mwanamke anafurahia kipondo, kwani asipopigwa muda mrefu anaona kuwa manaume ameshapata nyumba ndogo na penzi kwake kwishney!upo hapo Nyamayao?
in any kind of life, kupigana regardless of jinsia yako, ni ujinga wa kijinga kutoka kwenye mawazo yamjingasio unyonge i see ni ujinga i guess:A S 13:.yaani unafanywa ngoma uko tu hapo hapo.na yeye atazidi kupiga coz anajua wee mnyonge.say no to kipondo ladiez
Sarah (what a wonderful name)
ashakum si matusi dada.... sasa sijakuelewa kidogo.... hujapigwa muda mrefu sana??? una maana hujapigwa na ni muda mrefu umepita au "hujapigwa" mda mrefu sana yaani huwa unapigwa mda mfupi-mfupi?