4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

halafu kinachoniumaga zaidi ni kwamba kabla tanga halijaanuliwa ameshajua nani ata cover nafac yako, mtoto wa mwanamke mwenzangu haniui kwa kweli, nikaacha wanangu wanataabika.

huu ni unyonge ambao tunatakiwa tujikomboe inaumiza sana unafanya kama ngoma
 
nyamayao kula tano,hilo ndio hasaa linalotuua.mbaya zaidi ukiamua kuwa strong na kutoka ktk ndoa ya mateso wanawake wenzio ndio watakua wa kwanza kukupa label zote mbaya.wkt ilibidi tupeane moyo,ndo mana wengi wanaogopa kuondoka maana akiondoka inakua ajiandae tena kukabiliana na kejeli na dharau za jamii,so sad.

tunatakiwa tubadilike kabisa, kuna frnd wangu nae alichukua haya maamuzi ya kuanza maisha yake peke yake, (ndoa ilimshinda) huwezi amini mpaka mama yake mzazi alikuwa anamsema vibaya, alikuwa ni mtu wa huzuni tu, nilikuwa nampa moyo sana, imekuja kutokea mume huyo mdada aliekuwa anamzingua kamchuna pesa zote kabakia yeye na kengele zake na ugonjwa juu, anarudi kwa mkewe kumwomba msamaha...after 4yrs unakumbuka nina mke na watoto, mke mambo yake mazuri, watoto wanasoma vizuri cku zinasonga, yeye kwasasa ninavyokuwambia ni mgonjwa, mwanamke aliekuwa anamzuzua ameshatangulia mbele za haki, sasa hapo umeona angeiendekeza jamii ikatokea wote wagonjwa, na watoto je?
 
Sasa hommie unagangamala mpaka nyumba ndogo inajaa?

hommie umesoma katikati ya mistari au kama ilivyoandikwa? manake hapo mhusika ni Mrs wangu Nyamayao hapo .....ukimtajia nyumba ndogo hapa unatafuta balaa LOL
 
Nyinyi ladies wa JF sikilizeni,ukipigwa na mumeo it suffices to say:Ahsante,kofi la mpenzi haliumizi.Maisha yanasonga mbele.
 
huu ni unyonge ambao tunatakiwa tujikomboe inaumiza sana unafanya kama ngoma

sio unyonge i see ni ujinga i guess:A S 13:.yaani unafanywa ngoma uko tu hapo hapo.na yeye atazidi kupiga coz anajua wee mnyonge.say no to kipondo ladiez
 
hommie umesoma katikati ya mistari au kama ilivyoandikwa? manake hapo mhusika ni Mrs wangu Nyamayao hapo .....ukimtajia nyumba ndogo hapa unatafuta balaa LOL

yupo kama ana hamu la balaa la kuanzia weekend! atalipata.
 
Akishanipiga, cha kufanya nitakijua hapo hapo, kwani itategemea amenipigaje? Hata hivyo sijapigwa muda mrefu sana.

Sarah (what a wonderful name)

ashakum si matusi dada.... sasa sijakuelewa kidogo.... hujapigwa muda mrefu sana??? una maana hujapigwa na ni muda mrefu umepita au "hujapigwa" mda mrefu sana yaani huwa unapigwa mda mfupi-mfupi?
 
sio unyonge i see ni ujinga i guess:A S 13:.yaani unafanywa ngoma uko tu hapo hapo.na yeye atazidi kupiga coz anajua wee mnyonge.say no to kipondo ladiez

mkumbuke kuwa sio kila mwanamke anafaa kuwa mke!kuna wengine hata kwa dawa ndoa sio barikio lao!
 
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu

Anipige mimi mtoto? mwanaume anaempiga mwanamke ni mjinga
 
no to kipondo.....

kama umeshawahi kwenda musoma, au umebahatika kuona maisha ya ndoa ya watu wa huko, ungejuta kusema Say NO To Kipondo!kule mwanamke anafurahia kipondo, kwani asipopigwa muda mrefu anaona kuwa manaume ameshapata nyumba ndogo na penzi kwake kwishney!upo hapo Nyamayao?
 
hommie umesoma katikati ya mistari au kama ilivyoandikwa? manake hapo mhusika ni Mrs wangu Nyamayao hapo .....ukimtajia nyumba ndogo hapa unatafuta balaa LOL

Oups!! Nimeingia choo cha kike nikasahau kuchuchumaa wakati najojoa....lol!
 
mhhh itachukua muda mrefu....tufanye tunachotakiwa kufanya baada ya hapo ndio unitongoze.

I thought nyie ni dada na kaka.....:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
kama umeshawahi kwenda musoma, au umebahatika kuona maisha ya ndoa ya watu wa huko, ungejuta kusema Say NO To Kipondo!kule mwanamke anafurahia kipondo, kwani asipopigwa muda mrefu anaona kuwa manaume ameshapata nyumba ndogo na penzi kwake kwishney!upo hapo Nyamayao?

nipo...sasa hizo ni mila zao, wanazikubali na wanazifurahia, marangu kwetu hatuna hizo mila, nadhani na usukumani hawana pia, ndio mana nitashangaa cku yakitokea hayo...
 
sio unyonge i see ni ujinga i guess:A S 13:.yaani unafanywa ngoma uko tu hapo hapo.na yeye atazidi kupiga coz anajua wee mnyonge.say no to kipondo ladiez
in any kind of life, kupigana regardless of jinsia yako, ni ujinga wa kijinga kutoka kwenye mawazo yamjinga

cha maana ni kuavoid confrontations
 
Sarah (what a wonderful name)

ashakum si matusi dada.... sasa sijakuelewa kidogo.... hujapigwa muda mrefu sana??? una maana hujapigwa na ni muda mrefu umepita au "hujapigwa" mda mrefu sana yaani huwa unapigwa mda mfupi-mfupi?

Sidhani kama atakuwa amukuelewa vema!
 
Back
Top Bottom