4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Kashanitwangia hapa...atakuwa na mwanakondoo the finest pale>>>>>>>>> nawakamata pale shortly!!
Dah.,..... namuadmire sana Finest, pateni mbili kwa bili yangu ntalipa nikirudi

Ntakua na swagga za ki-PJ... ni arusha tu arifu, nachapa lapa hadi kongoro linapinda aisee

wew utakua wapi??
 
Pokea basi :A S 100: au umeiacha kwenye :car:?

karibia😛lane: itaanza kuruka ,hivyo siwezi kupokea
A%20S%20100.gif
 
Naona ndo mida mida hii ya kuelekea kupumizika warembo /mahandsome boy nawatakia weekend njema ,,mungu atujaalie uzima tuonane tena ,kesho kama watu hawatakuwa na hangover kesho kutwa wale wenzangu msisahau kusali ingawa kila siku tunapaswa kuwa safi wengine til Jtatu ...
Love you all
 
Ubarikiwe sana. Have a useful week end...LOL
 
Naona ndo mida mida hii ya kuelekea kupumizika warembo /mahandsome boy nawatakia weekend njema ,,mungu atujaalie uzima tuonane tena ,kesho kama watu hawatakuwa na hangover kesho kutwa wale wenzangu msisahau kusali ingawa kila siku tunapaswa kuwa safi wengine til Jtatu ...
Love you all

wewe pia angalia usipigwe tena kibao:hand:
 
Hapo nashindwa hata nianzie wapi,maana wangu mie ilikuwa ikifika jumamosi tu naambiwa leo hakuna kazi kwa hiyo hakuna mtu kutoka leo hata kama nina issues zangu nyingine nje ya kazi nitaambiwa leo hutoki hapa.Na nikilazimisha naambiwa ukitaka kutoka leo mpaka damu imwagike humu ndani ndio unatoka na kweli siku hiyo nisipomwaga damu ni kweli sitatoka.Ndoa zinatofautiana ndio maana nawashangaa wanaoona kibao kimoja ni udhalilishaji wakati wengine wanavitafuta kwa nguvu na usipomchapa kibao muda mrefu iko siku atakuwekea ugali mezani na unapotaka kuanza kula anauchukua ugali huohuo na kukutwanga nao sasa sijui kama kidume mtu atareact vipi?
 
Hivi dada,

Hapa tuongelea ndoa za dot.com tu au hata zile za kwetu bara? Hizi za kwenu mimi ziziongelei.

Ila kule kwetu, amri ya baba ni zaidi ya hisani ya Watu wa Marekani. Kwa hiyo tusijilinganishe na hao dada zetu. Badala yake tutafute jinsi ya kuwasaidia

kaka hapa tunaongelea ndoa zote,kaka cku hizi haya ammbo yanapngua, sawa amri ya baba hata mie naifatilaiga lakini icwe tu ya kimanyanyaso, wa dot.com ni kweli wanahitaji msaada zaidi mana nimeona kaam mbili za watu wa karibu mabinti wana kazi nzuri bac maisha ndani ni ya ki filamu zaidi,hakunaga kupika, kufua wala chochote, kula ni hotel, dyr cleaner, ndani wadada wnachofanya labda ni kufua chupi zao tu, room kwake anafanyiwa usafi na h/g mpaka kubadilishiwa mashuka nk...nikaona haw wanahitaji msaada mkubwa sana.
 
Hapo nashindwa hata nianzie wapi,maana wangu mie ilikuwa ikifika jumamosi tu naambiwa leo hakuna kazi kwa hiyo hakuna mtu kutoka leo hata kama nina issues zangu nyingine nje ya kazi nitaambiwa leo hutoki hapa.Na nikilazimisha naambiwa ukitaka kutoka leo mpaka damu imwagike humu ndani ndio unatoka na kweli siku hiyo nisipomwaga damu ni kweli sitatoka.Ndoa zinatofautiana ndio maana nawashangaa wanaoona kibao kimoja ni udhalilishaji wakati wengine wanavitafuta kwa nguvu na usipomchapa kibao muda mrefu iko siku atakuwekea ugali mezani na unapotaka kuanza kula anauchukua ugali huohuo na kukutwanga nao sasa sijui kama kidume mtu atareact vipi?

muwekee picha za bruce lee, ataacha... mimi nilifanya hivyo basi alikua akianza kisirani naweka ile DVD naangalia hapo anajikuta hanielewi na anaishia kushangaa tu mtu mzima mpaka leo naangalia movie za bruce lee... basi inabidi atafute dili nyingine :A S 13:
 
kaka hapa tunaongelea ndoa zote,kaka cku hizi haya ammbo yanapngua, sawa amri ya baba hata mie naifatilaiga lakini icwe tu ya kimanyanyaso, wa dot.com ni kweli wanahitaji msaada zaidi mana nimeona kaam mbili za watu wa karibu mabinti wana kazi nzuri bac maisha ndani ni ya ki filamu zaidi,hakunaga kupika, kufua wala chochote, kula ni hotel, dyr cleaner, ndani wadada wnachofanya labda ni kufua chupi zao tu, room kwake anafanyiwa usafi na h/g mpaka kubadilishiwa mashuka nk...nikaona haw wanahitaji msaada mkubwa sana.

Wewe na kaumri kako ka miaka 24 ni wa kizazi gani?
 
muwekee picha za bruce lee, ataacha... mimi nilifanya hivyo basi alikua akianza kisirani naweka ile DVD naangalia hapo anajikuta hanielewi na anaishia kushangaa tu mtu mzima mpaka leo naangalia movie za bruce lee... basi inabidi atafute dili nyingine :A S 13:

haki ya nani...mweh! nimecheka sana, haaaa ndoa ndoa ndoa na zidumu.
 
Wewe na kaumri kako ka miaka 24 ni wa kizazi gani?

niombe radhi, narudia tena niombe radhi....24 mimi?...hivi kwanini unapendaga kuniharibia cku yangu wewe? ndo mana nilikunyima.
 
Kumbe leo siku yako? mpe pole shemeji!
 
Back
Top Bottom