Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Kumbe leo siku yako? mpe pole shemeji!
cku yangu kwamba nipo mwezini?...unaendelea kuongeza makosa, niombe radhi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe leo siku yako? mpe pole shemeji!
hahaaaaa.... finest yuko wapi??? jamaa niliwapeleka salama kabisa na asubuhi wamenialika supuSitaki kelele! NTAKUHAMISHA! lol
Na kifungua kinywa wameshamaliza...Alhamdulillah!
Hivi unaendaga huko? kwa ungo au? sorry kumbe ungo wako ulishavunjwa siku nyingi LOLcku yangu kwamba nipo mwezini?...unaendelea kuongeza makosa, niombe radhi!
Nimecheka mpaka basi LOL!hahaaaaa.... finest yuko wapi??? jamaa niliwapeleka salama kabisa na asubuhi wamenialika supu
dogo ngumi jiwe yule
sitaongea naye for 1week, siku nikija kuongea naye (najua hasira zitakuwa zimeisha for both sides) ndo ntamueleza kwa upole kwamba "dear, swiry, honey ulinikwaza sana siku ile uliponizabua kibao, ila nimekusamehe bure bcoz i love you so much, mmwaaaah!!!!!! siku ingine nkikukosea nieleweshe tu, me ni mtu mzima ntakuelewa mpenzi wangu sio lazima uharibu nguvu zako kunidunda, kama ni mwelewa atanielewa.Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !
NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
hahaaaaa.... finest yuko wapi??? jamaa niliwapeleka salama kabisa na asubuhi wamenialika supu
dogo ngumi jiwe yule
sitaongea naye for 1week, siku nikija kuongea naye (najua hasira zitakuwa zimeisha for both sides) ndo ntamueleza kwa upole kwamba "dear, swiry, honey ulinikwaza sana siku ile uliponizabua kibao, ila nimekusamehe bure bcoz i love you so much, mmwaaaah!!!!!! siku ingine nkikukosea nieleweshe tu, me ni mtu mzima ntakuelewa mpenzi wangu sio lazima uharibu nguvu zako kunidunda, kama ni mwelewa atanielewa.
hahaaaaa.... finest yuko wapi??? jamaa niliwapeleka salama kabisa na asubuhi wamenialika supu
dogo ngumi jiwe yule
Good good recritment inaendelea sijui wamebaki gest round ya ngapi? hahaha
kuna vipengele vidogo ya sheria nadhani itabidi kamati iviongeze... suala la kuandamisha mwezi hadi asubuhi nalo ni la msingi kuliangalia... inatakiwa jua lisitoke ukiwa ungali na infiiINFI imegoma haitaki kurudi nyumbani kwenye ndoa yake
INFI imegoma haitaki kurudi nyumbani kwenye ndoa yake
kuna vipengele vidogo ya sheria nadhani itabidi kamati iviongeze... suala la kuandamisha mwezi hadi asubuhi nalo ni la msingi kuliangalia... inatakiwa jua lisitoke ukiwa ungali na infii
itakula kwako ohoooo
kuna vipengele vidogo ya sheria nadhani itabidi kamati iviongeze... suala la kuandamisha mwezi hadi asubuhi nalo ni la msingi kuliangalia... inatakiwa jua lisitoke ukiwa ungali na infii
itakula kwako ohoooo
tuliambiwa kabisa tununue power tillers dogo naona kachukua Massey Ferguson, kaipiga full tank anapalilia bustani, balaa sasa hiliKwa nini uliweka four wheel sasa matokeo yake ndo hayo.......hahahahaha
tuliambiwa kabisa tununue power tillers dogo naona kachukua Massey Ferguson, kaipiga full tank anapalilia bustani, balaa sasa hili
Angalizo kidogo: NJe ya mada....
Nimegundua suala la infi limeathiri vijana sana kiasi kwamba popote pale pakiwa na kundi la watu, hisia zao zinahama, hili itabidi tulishughulikie na nina mpango wa kumtafuta kansela awasaidie vijana, naona teamo amefikia stage four sasa na tusipomwahi tutampoteza kabisa
Angalizo kidogo: NJe ya mada....
Nimegundua suala la infi limeathiri vijana sana kiasi kwamba popote pale pakiwa na kundi la watu, hisia zao zinahama, hili itabidi tulishughulikie na nina mpango wa kumtafuta kansela awasaidie vijana, naona teamo amefikia stage four sasa na tusipomwahi tutampoteza kabisa
Mkuu huyo ni King kabisa......anafanya vile vile kwa level yake alipofikia
wa kumwangalia ni The Finest manake naona jana tu 'kaharibu'...asipoangalia atasupp....
ACID, TEAMO, ASPRIN combination niliyokaa nayo jana nafikiri nitadrop chuo sitamaliza masomo maana jana tulipokuwa tumekaa nahisi tayari nimeisha qualify
tru mazee.... dogo ameclear kwa oral, sasa itabidi tuwahi sana kabla King hajatengeza extremistsMkuu huyo ni King kabisa......anafanya vile vile kwa level yake alipofikia
wa kumwangalia ni The Finest manake naona jana tu 'kaharibu'...asipoangalia atasupp....