4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Sitaki kelele! NTAKUHAMISHA! lol

Na kifungua kinywa wameshamaliza...Alhamdulillah!
hahaaaaa.... finest yuko wapi??? jamaa niliwapeleka salama kabisa na asubuhi wamenialika supu

dogo ngumi jiwe yule
 
cku yangu kwamba nipo mwezini?...unaendelea kuongeza makosa, niombe radhi!
Hivi unaendaga huko? kwa ungo au? sorry kumbe ungo wako ulishavunjwa siku nyingi LOL

hahaaaaa.... finest yuko wapi??? jamaa niliwapeleka salama kabisa na asubuhi wamenialika supu

dogo ngumi jiwe yule
Nimecheka mpaka basi LOL!
 
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !

NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka maoni yenu
sitaongea naye for 1week, siku nikija kuongea naye (najua hasira zitakuwa zimeisha for both sides) ndo ntamueleza kwa upole kwamba "dear, swiry, honey ulinikwaza sana siku ile uliponizabua kibao, ila nimekusamehe bure bcoz i love you so much, mmwaaaah!!!!!! siku ingine nkikukosea nieleweshe tu, me ni mtu mzima ntakuelewa mpenzi wangu sio lazima uharibu nguvu zako kunidunda, kama ni mwelewa atanielewa.
 
hahaaaaa.... finest yuko wapi??? jamaa niliwapeleka salama kabisa na asubuhi wamenialika supu

dogo ngumi jiwe yule

Good good recruitment inaendelea sijui wamebaki gest round ya ngapi? hahaha
 
sitaongea naye for 1week, siku nikija kuongea naye (najua hasira zitakuwa zimeisha for both sides) ndo ntamueleza kwa upole kwamba "dear, swiry, honey ulinikwaza sana siku ile uliponizabua kibao, ila nimekusamehe bure bcoz i love you so much, mmwaaaah!!!!!! siku ingine nkikukosea nieleweshe tu, me ni mtu mzima ntakuelewa mpenzi wangu sio lazima uharibu nguvu zako kunidunda, kama ni mwelewa atanielewa.

Orait orait.......
 
INFI imegoma haitaki kurudi nyumbani kwenye ndoa yake
kuna vipengele vidogo ya sheria nadhani itabidi kamati iviongeze... suala la kuandamisha mwezi hadi asubuhi nalo ni la msingi kuliangalia... inatakiwa jua lisitoke ukiwa ungali na infii

itakula kwako ohoooo
 
Hili kiongozi lipo very clear kabisa....hahahah
 
kuna vipengele vidogo ya sheria nadhani itabidi kamati iviongeze... suala la kuandamisha mwezi hadi asubuhi nalo ni la msingi kuliangalia... inatakiwa jua lisitoke ukiwa ungali na infii

itakula kwako ohoooo

Sijui acting secretary general anachukua minutes maana isije ikawa ishu kama ya nyumba ndogo ya kaizer
 
Kwa nini uliweka four wheel sasa matokeo yake ndo hayo.......hahahahaha
tuliambiwa kabisa tununue power tillers dogo naona kachukua Massey Ferguson, kaipiga full tank anapalilia bustani, balaa sasa hili
 
HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA kuna haja ya kuangalia kama spea zake zinapatikana madukani isije ikawa spea zake hazipo matokeo yake hadi uanze kuagiza nje
 
Angalizo kidogo: NJe ya mada....

Nimegundua suala la infi limeathiri vijana sana kiasi kwamba popote pale pakiwa na kundi la watu, hisia zao zinahama, hili itabidi tulishughulikie na nina mpango wa kumtafuta kansela awasaidie vijana, naona teamo amefikia stage four sasa na tusipomwahi tutampoteza kabisa
 
Mkuu huyo ni King kabisa......anafanya vile vile kwa level yake alipofikia

wa kumwangalia ni The Finest manake naona jana tu 'kaharibu'...asipoangalia atasupp....
 
Teamo naona yuko kwenye climax stage kurudi kwenye circumstances za kawaida inabidi akae peke yake for almost two years
 
Mkuu huyo ni King kabisa......anafanya vile vile kwa level yake alipofikia

wa kumwangalia ni The Finest manake naona jana tu 'kaharibu'...asipoangalia atasupp....

ACID, TEAMO, ASPRIN combination niliyokaa nayo jana nafikiri nitadrop chuo sitamaliza masomo maana jana tulipokuwa tumekaa nahisi tayari nimeisha qualify
 
mi ndo na award degreee shauri yako.....
 
Mkuu huyo ni King kabisa......anafanya vile vile kwa level yake alipofikia

wa kumwangalia ni The Finest manake naona jana tu 'kaharibu'...asipoangalia atasupp....
tru mazee.... dogo ameclear kwa oral, sasa itabidi tuwahi sana kabla King hajatengeza extremists
 
Back
Top Bottom