4% ya mapato kwenda Zanzibar kama Hoja ya Muungano

Mkuu ulikatwa wapi?

Favorism ni kitu ambayo ipo kila sehemu, hayo ni mambo ya kawaida tu kwenye Dunia.

Toa mfano sio kuweka generalization!!! Sasa kama kampuni anayeendesha biography yake ni mtu wa Zenji unategemea nini Hapo???!
 
je ni kweli pesa iliyochangiwa na znz ndo iliyojengea jengo lao la bot znz?
Katika maelezo yangu nimesema 1967 katika mtaji wa kuanzisha BOT 11.5 ilitoka Zanzibar. jengo la BOT lilijengwa katika miaka ya 2000. Kwa hivyo ni dhahiri jengo hilo linatoka katika fedha ya BOT na haina maana kwamba mtaji huo ndio thamani ya pesa hizo. Lkn iwe ndio hivyo; bado jengo ni la BOT na sio la Zanzibar. N.B: Nimetoa maelezo ili ifahamike. Jawabu rahiisi ni HAPANA
 
Rejea maneno ya Nyerere kabla ya uhuru na ya Lukuvi 2015 kule kanisani utajua muungano ni kwa faida ya nani. Mkuu sisi tupo. Usidhani Wazanzibari hawana akili. Wanaona, wanajua na ni werevu mno.
 
Toa mfano sio kuweka generalization!!! Sasa kama kampuni anayeendesha biography yake ni mtu wa Zenji unategemea nini Hapo???!

Hayo ni matukio ya kawaida mkuu, Hata mahotelini Zanzibar ni rahisi kwa Mbara kupata kazi kuliko Mzanzibari mana position nyingi zajuu kama P.O mara nyingi sana huwa na zinashikiliwa na wabara, kwahiyo favorism hufanyika.
Na hivyo ndivo ulimwengu unavyokwenda kila mmoja huwa favour Zaidi watu wa jamii yake.

Hata mwenda zake alijaza wasukuma.
 

Ndio mana tunaambiwa tuweka serekali tatu kumaliza hayo matatizo lakini hatutaki, tunang'ang'ania 2 lakini bado tunalalamika.
 

Kijana acha porojo
 
Ukitathimi kwa kina utagundua iyo 4% inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar.

Ni kama vile Tanganyika inalipia gharama za muungano.
Ila mnaung'an'gania wenyewe na watu wako rumande mwaka wa nane sasa kisa walileta hamasa za kuvunja au kutaka marekebisho ya muungano. Ndugu kuna mengi huyafaham zaidi uliza. Kwann at any cost tanganyika hawataki muungano uvunjike?
 
Mimi sijaona utata wowote juu ya makusanyo .Kinachokusanywa na TRA Zanzibar kitumike hukohuko na Bara itumie makusanyo yake. Kimapato hatuna Cha kujivunia kutoka Zanzibar zaidi ya kuwalipa mishahara wazenji
 
Bila ya Zanzibar mtapigana sana, ndio alichofikiria Mwalimu. Na ndio maana muungano unalindwa sana, huwezi kuliona hili.
naona umeamua uondoke na bila ya Muungano kuna uunguja na upemba,
 
Wao wanaleta nini huku, isiwe ni one way resource flow
 
naona umeamua uondoke na bila ya Muungano kuna uunguja na upemba,

Wao kwa wao wanabagua balaa... Yaani Huko Kwao Bado ni mtihani je Muungano ukifa.... [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msaada ambao ni general kwa Tanzania ni sawa. Kwa mfano msaada wa vyandarau kwa Tanzania wa chukue 4% yao. Lakini msaada kwa Serikali ya JM Tanzania kwa ajili ya Hospital ya Mnazi mmoja ZNZ utapiga 96% ya huo msaada ije Tanganyika?

Why not??

Ikiwezekana hii 4% iwe at least 30% ,.... Na kila mradi ujao Tanzania bara uende Tanzania visiwani!

Kama bado muungano ni muhimu kwetu (bara na visiwani) sioni tatizo wote tukasimana level moja ya kiuchumi!

Showcasing Zanzibar as our weakest point will only be our term of our demise!
 

Bado huijui Tanzania (Tanganyika & Zenjibar)!!!
 
Mimi sijaona utata wowote juu ya makusanyo .Kinachokusanywa na TRA Zanzibar kitumike hukohuko na Bara itumie makusanyo yake. Kimapato hatuna Cha kujivunia kutoka Zanzibar zaidi ya kuwalipa mishahara wazenji

mishahara gani munayowalipa mkuu?

Na je vipi kuhusu mapato ya anga? mapato ya bahari? Kodi za makampuni? Visa fees? zote ziende Bara au ?
 
Kodi yote inayokusanywa na TRA Zanzibar hubaki Zanzibar, hakuna senti inayovuka maji

Wakati huo huo wafanyakazi wa TRA Zanzibar ambao wote ni wazanzibar wanalipwa na TRA Taifa (ambayo mapato yake yanatokana na jasho la watanganyika)

Sheria kama kweli inasema hivi kwa mujibu wa statement yako, Ibadirishwe kwa manufaa ya Muungano !

But still 4% kama gawio haliwatoshi!

Zanzibar is a commemoration!! Ni kama nguzo ya Taifa la Tanzania katika utalii!! We need them!

Even though not as much as they do! Still kuna jambo kati yetu! (Tanganyika & Zanzibar) !!!!
Lizingatiwe!!!
 

Dharau ndizo zitakazowaponza watanganyika. Wanajihisi wao hawaihataji Zanzibar ila Zanzibar ndio inawahitaji wao. wakati mambo yapo kinyume chake.
 

Let it be kama ni kuvunjika na uvunjike tu. UK wamejitoa kwenye EU yenye mafaida kibao sembese huu unaohitaji kishika ndoa cha 4%.

Tena kinacho kumbushiwa tukiwa bado kwenye maombolezi ya kitaifa na siku ya tatu tu baada ya kuzika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…