40-49 yrs Christian man

40-49 yrs Christian man

Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
Hi
 
H

Hata huyo atanifaa kikubwa Amani na upendo
Good morning!
Bado n8 mapema sana Mdada,unayo akili na nguvu ya kupata kila unachohitaji."Life starts at 40"
9cfacc52108327b766e4c08c5cf253eb.png
 
Back
Top Bottom