Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Kama wewe Ni mwanamke age kuanzia miaka 40+ karibu nakukarinisha tuwe marafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una matatizoKwani wanawake wanafikaga miaka 40???
Mi nnavyojua mwisho wanaishia miaka 27, kisha miaka inaanza upya 22
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mimi nimeshangaaMmh mimi sijui kingereza ndio. Ila naomba kuuliza, Hivi 40+ ni girl naye?
Ww umeshakuwa mrs haya mambo hayakuhusu tenaMmh mimi sijui kingereza ndio. Ila naomba kuuliza, Hivi 40+ ni girl naye?
Mimi nmeuliza tu swali jamaniWw umeshakuwa mrs haya mambo hayakuhusu tena
Muulize van... Mke wa mtu unataka kujua haya mambo yann?!Mimi nmeuliza tu swali jamani
Kwani mke wa mtu hana marafiki?Muulize van... Mke wa mtu unataka kujua haya mambo yann?!
Marafiki wa kiume?!Kwani mke wa mtu hana marafiki?
Kwani wewe huna marafiki wa kike. Au unasoma shule za boysMarafiki wa kiume?!
Ww umeolewa wakat unasoma?!Kwani wewe huna marafiki wa kike. Au unasoma shule za boys
Hahahaha...tunafika mkuuKwani wanawake wanafikaga miaka 40???
Mi nnavyojua mwisho wanaishia miaka 27, kisha miaka inaanza upya 22
Ahahaaa sasa wewe unataka kubadilisha mambo. Hayo unayotaka yakue sipo huko. Nilimuukliza mtoa post unless kama ni id yako nyingine ikataka kunihoji maswali swali tuWw umeolewa wakat unasoma?!
Hamna urafiki wa mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu,unamuaga mumeo unaenda kwa rafik yako wa kiume kumsalimia?!
Unamuuliza mtoa post lkn una quote kwangu?....naona unataka kukwepa issue ya urafiki kati ya mke wa mtu na mwanaume mwingineAhahaaa sasa wewe unataka kubadilisha mambo. Hayo unayotaka yakue sipo huko. Nilimuukliza mtoa post unless kama ni id yako nyingine ikataka kunihoji maswali swali tu