40+ age girl only karibuni

40+ age girl only karibuni

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Kama wewe Ni mwanamke age kuanzia miaka 40+ karibu nakukarinisha tuwe marafiki
 
Nakuja
happy-face.png
 
Kwani wewe huna marafiki wa kike. Au unasoma shule za boys
Ww umeolewa wakat unasoma?!

Hamna urafiki wa mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu,unamuaga mumeo unaenda kwa rafik yako wa kiume kumsalimia?!
 
Akishakuwa rafiki kinachofuata unamfanya nini?
 
Ww umeolewa wakat unasoma?!

Hamna urafiki wa mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu,unamuaga mumeo unaenda kwa rafik yako wa kiume kumsalimia?!
Ahahaaa sasa wewe unataka kubadilisha mambo. Hayo unayotaka yakue sipo huko. Nilimuukliza mtoa post unless kama ni id yako nyingine ikataka kunihoji maswali swali tu
 
Age go age go [emoji443][emoji443][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji441]
 
Ahahaaa sasa wewe unataka kubadilisha mambo. Hayo unayotaka yakue sipo huko. Nilimuukliza mtoa post unless kama ni id yako nyingine ikataka kunihoji maswali swali tu
Unamuuliza mtoa post lkn una quote kwangu?....naona unataka kukwepa issue ya urafiki kati ya mke wa mtu na mwanaume mwingine
 
Back
Top Bottom