4R za Rais Samia Suluhu Hassan: Mafanikio na changamoto zake

4R za Rais Samia Suluhu Hassan: Mafanikio na changamoto zake

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Resilience
Reconciliation
Reform
Rebuild

Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya, katika kushughulikia masuala ya sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini.

Tunaelekea kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa hapo Novemba 2024 na hususan mwakani 2025 tunaingia kwenye uchaguzi Mkuu.

Je hizi 4R za mama, without prejudice zimefanikiwa ama zimeweza vipi kufikia malengo chanya yaliyokusudiwa

Soma Pia: Dkt. Festo Dugange: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utazingatia 4R's za Rais Samia

Pia, hali ya sasa tunaishi vipi na hizi 4R?
 
Resilience, I like this one, the question is, who is going to be flexible or spring back , Nani anatakiwa kuwa msikivu na atulie kwa usikivu kwa muda gani mimi binafsi sipendi jamii iliyo nyamaza ama kunyamazishwa kwa maana huwezi kufanya biashara kwenye jamii iliyo nyamaza, (silent society), jamii mfu, jamii ya bora liende, silence surrenders public responsibilities
 
..sidhani kama 4R ni za Mama Abduli.

..nahisi ni maneno aliyolishwa, au aliyofundishwa, na washauri.

..yeye mwenyewe, haelewi, wala haamini, ktk 4R.
 
Resilience
Reconciliation
Reform
Rebuild

Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya, katika kushughulikia masuala ya sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini.

Tunaelekea kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa hapo Novemba 2024 na hususan mwakani 2025 tunaingia kwenye uchaguzi Mkuu.

Je hizi 4R za mama, without prejudice zimefanikiwa ama zimeweza vipi kufikia malengo chanya yaliyokusudiwa

Soma Pia: Dkt. Festo Dugange: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utazingatia 4R's za Rais Samia

Pia, hali ya sasa tunaishi vipi na hizi 4R?
4R na huu unaoitwa wadiojulikana ni mtihani mkubwa Shekhe
 
SmartSelect_20240909_184247_Samsung Internet.jpg

SmartSelect_20240909_184313_Samsung Internet.jpg
 
Aibu
 
Attachments

  • b3a34e7e631270a9e73fdd13db687369.mp4
    3.6 MB
  • watermark-51a3cc01acd06eefe8d1d23a20c76918_0.jpeg
    watermark-51a3cc01acd06eefe8d1d23a20c76918_0.jpeg
    516.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom