50/50 inayotafutwa haina msingi zaidi ya kufahamiana na kujuana

UKweli ni kwamba kama ni kuhongwa madaraka, wakati wa Kikwete walihongwa. Wako wapi? Nani aliyeweza kuonesha umahili wake? Bungeni nilimuona Anna Makinda akionesha ukomavu Wengine ni hoi tu wakaanza hata kupigana vijembe; Mara Ghasia anasema hivi, Mhagama anasema vile! Hooovyo!

Ukiwasikia wazoefu akina Mongela ambao nao walibebwa kwa miaka mingi, sasa wanazungumzia minyoo na kufundisha watu kutongoza! Hawa!
 

Muyovozi labda una point nzuri, lakini weka paragraph, itakuwa rahisi kusoma watasoma na wengi.
 
cc SAMIA SULUHU HASASAN.

KAMA ANA HEKIMA ZA KUTOSHA ATACHUKUA HUU USHAURI.
 
Subirini amteue Shilole na Jacquiline Ntuyabaliwe wakaungane na wale mala.ya wengine kina Magige kuwaletea maendeleo.

kkkkkk
 
Sera ya 50/50 katika nchi za kiafrika ni kizungumkuti.


Nashangazwa sana na wanaoshabikia umagharibi huu ambao essence yake ilianzia huko Beijing. FEMINISM KWA AFRICA BADO! Kwa mwanamama anayefahamu ninachokisema ataelewa, leo tunatengeneza kizazi cha hovyo kabisa hakuna kitu kibaya vizazi vijazwa vutatulaumu kama hizi movement, kwamba leo majukumu ya mwanaume yanalazimishwa yafanyike na mwanamke? Hatuoni chembe chembe za mfumo huu? Leo wapo wanaume wanalelewa hawajui hata kutafuta mahitaji na malezi kisa wamekuwa legelege na wameamua kushidana na wanawake zao kwani kama wao wanavyodai inapaswa nao wajitafutie yaani 50/50.



Leo wamepewa "power" badala ya kuitumia ipasavyo wanaleta MIPASHO! Hatari hii.


Goja tuendelee kutazama hii movie lakini kwangu ni mfumo dume TU !!
 
Wanawake wasaidiwe kuinuka. Wapewe haki za msingi kama za Urithi mme wake akifariki, kulindwa na sheria wasipigwe hovyo na wanaume.

Lakini 50/50 ni ngumu sababu mwanamke kama atazaa watoto 2,3, 4,5 atachukua miaka mitano kulea wakati mwanaume anaendelea na career yake. Baada ya miaka mitano mwanaume atakuwa mbali zaidi ya mwanamke.

Ndio sababu very ambitious women wana watoto wachache au hawana kabisa e.g Angel Merkel, Kamala Harris, Nicola Sturgeon, Hillary Clinton etc to concrentate fully in career.
 
Kumbe ccm mnapinga Rais wenu,mvulugeni mtajuta zaliwa ,

Mama ssh ccm wakikuvuruga liache chama lao life, au fanya mahamuzi magum 2025 inawezekana
 
Nadhani tukubali kwamba viongozi wetu wana mapungufu kama binadamu wengine tulivyo. Wanastahili kukosolewa na siyo kutukuzwa. Sasa, tunaomba iwe bahati wakubali kukosolewa maana naamini kabisa maamuzi kama haya ya 50/50 ni akili yake na hata siamini kwamba ktk chama chao wamekubaliana kutimiza hilo kama anavyosema majukwaani.

Hiyo ni niya ya kila mtu kwa heshima ya binadamu wote lakini utekelezaji wake siyo kwa mtindo huo wa NGO! Hizi NGO zinaharibu watu wanageuka kuwa wanaharakati hadi kuetetea ushoga. Naamini bado wanamuangalia kwa mbali maana wameanza kumsifu sana. Akilewa sifa tu, wanajaribia ushoga na haki za raia.
 
Moja ya matokeo ya utawala wake yatakuwa ni 50/50, you cannot ignore gender issues in development process. Why? Wanawake ndio waathirika wakwanza wa athari za umasikini katika jamii, kuwawezesha wao kiuongozi ni kuongeza chachu ya kuufuta umasikini.
 
Sio Afrika tu mkuu hata uko ulaya na America hakuna nchi ambayo imefanikiwa kwa [emoji817]% la 50/50 hiki kitu hakita kuja kutokea duniani
 
Kumbe ccm mnapinga Rais wenu,mvulugeni mtajuta zaliwa ,

Mama ssh ccm wakikuvuruga liache chama lao life, au fanya mahamuzi magum 2025 inawezekana
Vipi Chama chenu hampingani? Hamruhusiwi?
 
Moja ya matokeo ya utawala wake yatakuwa ni 50/50, you cannot ignore gender issues in development process. Why? Wanawake ndio waathirika wakwanza wa athari za umasikini katika jamii, kuwawezesha wao kiuongozi ni kuongeza chachu ya kuufuta umasikini.
Teuzi hazisaidii wanawake. Hata viti maalum havijasaidia wanawake kwa chochote.

Atakachofanya ni kuunda genge lake la wanawake ili waungane na wanaume wa mfumo dume kutafuna keki ya taifa.

Mwanamke atabaki na lundo la matatizo yale yale.
 
Muyovozi umeyovoa vizuri sana.
 
Vile vile na udini naona kama unaanza kuzaliwa taratibu.
 
Wapo mbioni kupitisha sheria ya kuwaruhusu kuoa wanaume kwa lazima yaan tuwe km India pia wawe wasemaji wakuu wa familia zao hapo ndipo anguko litawajia na watamuacha mama ktk mataa,mwanamke abaki kuwa mama na mwanaume abaki kuwa baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…