"50 Cent" kawapa ngumi za uso wanawake

"50 Cent" kawapa ngumi za uso wanawake

Hoja yake ni ipi? Hivyo ndivyo saikolojia ya Wanawake Iko so kama hataki wanawake atapiga punyeto au?

No way out that is nature vinginevyo anaumwa.Bora angewakataa wale ambao walimkataa hapo kabla.
Mgonjwa ni wewe, siyo 50! Sorry lakini!
 
Hoja yake ni ipi? Hivyo ndivyo saikolojia ya Wanawake Iko so kama hataki wanawake atapiga punyeto au?

No way out that is nature vinginevyo anaumwa.Bora angewakataa wale ambao walimkataa hapo kabla.

Huyo mwamba ni jamii ya wale viumbe wanawake wanawaita bitches. Halafu huyu anaonekana anawaita hivyo kutoka moyoni kabisa. In short jamaa anawachukia wanawake kwasababu za kisaikolojia, sijui mamaake alimfanya nini huyu
 
Sidhani kama kuna kiumbe aliyetoka ubavuni mwa Adamu akawa hana standards zake!!
Kila mtu anazo,, ila za mwanamke tu ndiyo zinachukuliwa negative.
Nakukatalia,kwa wenzetu EU/US kua na mtu maarufu ni business and expect divorce muda wowote kwakua wanaona ndio business kubwa kwa sasa, either uchafuliwe wengine wawematajiri km Kelly and others or uishi kibishi km eminem
 
Back
Top Bottom