50% of kenyans live under poverty line

50% of kenyans live under poverty line

Sasa hivi hawawezi kuupitia uzi huu wanauona kama ukoma.
 
Mmh noma sana Ila ukimkuta mkenya ana fedha ujue anazo kweli sio utani .....sijawah kuwashuhudia hao masikini wakikenya uku tz hua nawaona wapiga bata tu
 
Kuna tofauti kubwa kati ya matajiri wachache na maskini wengi.
Kuna matajiri kama kina Lord Delamare (Muingereza, sijui kama nimepatia jina) ndiyo wanaoimiliki Kenya. Idadi yao hawafiki 10 lkn wanamiliki 90+% of the wealth. Ndiyo wenye real estate, mashamba ya maua nk. Wengine ni manamba na wapagazi tu.
Waweza Google kujua who scrue Kenya, you will see.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya matajiri wachache na maskini wengi.
Kuna matajiri kama kina Lord Delamare (Muingereza, sijui kama nimepatia jina) ndiyo wanaoimiliki Kenya. Idadi yao hawafiki 10 lkn wanamiliki 90+% of the wealth. Ndiyo wenye real estate, mashamba ya maua nk. Wengine ni manamba na wapagazi tu.
Waweza Google kujua who scrue Kenya, you will see.
Kule kenya matajiri wachache ndio wenye nchi. Huku asilimia kubwa wakifa na njaa.
 
game over n Annael Ndo maana tunawalisha huko Kenya kuna feudalism wanakaa kipande system unakuta estate ina wapagazi na landlord often Landgrabber Kikuyus wanakuja kuchukua rent ya kulima na nyumba (often shacks) kila mwisho wa mwezi! Ndo maana wanalilia ardhi yetu kila siku! Maana yao Kikuyus na white people wamechukua kulima maua na miraa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
halafu hayo maua wanapeleka kuuza kwao ulaya tax free, in exchange to massive western industrial goods kwa kuwahadaa wakenya kusign exploitative deals like epa.. There we go!!
 
Rudi hapo kwa website ya world bank, enda gwa ile graph ya mambo ya poverty, alafu on your right, geuza hion threshold ya below poverty live uweke ya below $2 dollars ama $1.9 a day , tanzania utakuta inaruka inasema 70% wanaishi below $2% ya kenya inakua 42%... Alafu tuone kama bado utakua unacheka cheka............ Hio ndo maana Kenya Middleclass ni 44.9% wakati tanzania middleclass ni 14% ya population
Kweli ndio maana huwa mnajidai na shirika lenu mnalopigia kelele kila siku lakini linajiendesha kwa hasara na wafanyakazi wamegoma sijui mtajidai na nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya wanaishi kama wahindi..... ukiwa mtu toka kabila masikini basi utakuwa masikini milele.... na ukizaliwa kwa wakikuyu basi wewe ni utajiri mpaka mwisho.....
Kenya is not ''equal opportunity to all'' society. It has castes like Indians. This is why their country is very prony for class struggle.
 
Back
Top Bottom