Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule kenya matajiri wachache ndio wenye nchi. Huku asilimia kubwa wakifa na njaa.Kuna tofauti kubwa kati ya matajiri wachache na maskini wengi.
Kuna matajiri kama kina Lord Delamare (Muingereza, sijui kama nimepatia jina) ndiyo wanaoimiliki Kenya. Idadi yao hawafiki 10 lkn wanamiliki 90+% of the wealth. Ndiyo wenye real estate, mashamba ya maua nk. Wengine ni manamba na wapagazi tu.
Waweza Google kujua who scrue Kenya, you will see.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]game over n Annael Ndo maana tunawalisha huko Kenya kuna feudalism wanakaa kipande system unakuta estate ina wapagazi na landlord often Landgrabber Kikuyus wanakuja kuchukua rent ya kulima na nyumba (often shacks) kila mwisho wa mwezi! Ndo maana wanalilia ardhi yetu kila siku! Maana yao Kikuyus na white people wamechukua kulima maua na miraa.
Kweli ndio maana huwa mnajidai na shirika lenu mnalopigia kelele kila siku lakini linajiendesha kwa hasara na wafanyakazi wamegoma sijui mtajidai na nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi hapo kwa website ya world bank, enda gwa ile graph ya mambo ya poverty, alafu on your right, geuza hion threshold ya below poverty live uweke ya below $2 dollars ama $1.9 a day , tanzania utakuta inaruka inasema 70% wanaishi below $2% ya kenya inakua 42%... Alafu tuone kama bado utakua unacheka cheka............ Hio ndo maana Kenya Middleclass ni 44.9% wakati tanzania middleclass ni 14% ya population
World Bank the mother of all! Unataka za IMF pia? 🙂
Hivi ile forum yao ambayo wakikuyu wanatukanwa mpaka wanachanganyikiwa inaitwaje??Wakikuyu Nyuzi kama hizi huwa wanapita kimyakimya,