50% of kenyans live under poverty line

Sasa hivi hawawezi kuupitia uzi huu wanauona kama ukoma.
 
Mmh noma sana Ila ukimkuta mkenya ana fedha ujue anazo kweli sio utani .....sijawah kuwashuhudia hao masikini wakikenya uku tz hua nawaona wapiga bata tu
 
Kuna tofauti kubwa kati ya matajiri wachache na maskini wengi.
Kuna matajiri kama kina Lord Delamare (Muingereza, sijui kama nimepatia jina) ndiyo wanaoimiliki Kenya. Idadi yao hawafiki 10 lkn wanamiliki 90+% of the wealth. Ndiyo wenye real estate, mashamba ya maua nk. Wengine ni manamba na wapagazi tu.
Waweza Google kujua who scrue Kenya, you will see.
 
Kule kenya matajiri wachache ndio wenye nchi. Huku asilimia kubwa wakifa na njaa.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
halafu hayo maua wanapeleka kuuza kwao ulaya tax free, in exchange to massive western industrial goods kwa kuwahadaa wakenya kusign exploitative deals like epa.. There we go!!
 
Kweli ndio maana huwa mnajidai na shirika lenu mnalopigia kelele kila siku lakini linajiendesha kwa hasara na wafanyakazi wamegoma sijui mtajidai na nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kenya wanaishi kama wahindi..... ukiwa mtu toka kabila masikini basi utakuwa masikini milele.... na ukizaliwa kwa wakikuyu basi wewe ni utajiri mpaka mwisho.....
Kenya is not ''equal opportunity to all'' society. It has castes like Indians. This is why their country is very prony for class struggle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…