50% ya Watanzania wananuka midomo!!

50% ya Watanzania wananuka midomo!!

Nipo mkuu matatizo ya Dowans na Richmond yanafanya watu kutoonekana kila mara hapa kunako jamvi!

Dowans kweli ni janga la kitaifa kama vile harufu ya kinywa!!
 
Babu DC hapo kwenye soksi hapo achana napo kabisa kuna jamaa aliishawahi kusema ni wanaume wachache sana wenye pair za socks zinazozidi kumi

No doubt, wanaume wengi hawafui boxers/chupi, leso, taulo, shuka, socks nk...hili halina mjadala
 
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.

Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)

Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!

Umeanza vizuri, Umemaliza vibaya!
 
Usafi wa kinywa Watu wengi umetupitia kushoto. Ni wachache sana kati yetu tunaokwangua ndimi zetu mara mbili kwa siku. Ni wangapi tunajua hata kama kuna tongue scrapers zilizo mahsusi kwa kazi hiyo tu?

Tongue scrapers ni muhimu sana katika kupigana na bad breath. Wale anaerobic bacteria wanaosababisha mdomo kunuka hujizalia sana kwenye ndimi hasa kwa sehemu ya nyuma kule karibu na koromeo. Sehemu ingine ambao hao bacteria wanapenda kujihifahi ni kwenye paa la kinywa (palate). Huko nako mtu unapaswa kupitisha mswaki.

Flossing. Idadi kubwa kati yetu hawajui flossing ni nini. Flossing husaidia sana katika kuondoa mabaki ya chakula yaliyonasa katikati ya meno. Sasa fikiria mtu anakula mchemsho, viepe, kitimoto, na vinginevyo halafu hakuna cha kufloss wala nini. Badala yake anatumia kijiti. Yale mabaki ya chakula yakikaa sana katikati ya meno huwa yanatoa harufu.

Na vile vijiti huwa havifikii sehemu nyingi tu za meno na hata huko zinakofika huwa havifanyi kazi sawa na nyuzi za flossing. Mtu ambaye hajawahi kufloss humu ndani na ajaribu siku moja aone jinsi ambavyo flossing ilivyo effective.

Mouthwash. Ni wachache sana tunaotumia mouthwash. Hizi nazo husaidia sana katika kuua harufu mbaya. Mtu ukishamaliza kuukwangua ulimi wako, ukishamaliza kufloss, ukishamaliza kusugua meno yako pamoja na paa la kinywa na fizi unasukutua na mouthwash kabla ya kusukutua na maji. Mtu ukizingatia na kufanya huo mchakato utakuwa umelipunguza tatizo la harufu mbaya kwa kiasi kikubwa sana.

Mwisho watu wengi hawajui kuwa kikubwa kisababishacho harufu mbaya mdomoni ni anaerobic bacteria. Hawa ni bacteria ambao hushamiri pasipo na oxygen ya kutosha. Sasa mdomo mara nyingi huwa unafungwa na hivyo kupelekea hao bacteria kujizalia na kushamiri.

Kwa hiyo hapo la msingi, baada ya kuzingatia yote hayo yahusuyo usafishaji ni muhimu pia kuuweka mdomo kuwa oxygenated mara kwa mara. Na hili linawezekana kwa kunywa maji throughout the day. Sisemi unywe maji kama ng'ombe. Just space out your water intake without long intervals in between and you'll be straight for the most part.

Hayo yote ukiongezea na routine teeth cleaning performed by a qualified dentist should do it in getting rid of bad breath.
 
Nyani...umetisha!! ni vitendo tu vinafuata baada ya good advice!!
 
Mkuu Ngabu hiyo flossing hufanyikaje, nitaweza kununua wapi vitendea kazi vyake hapa Tz? Manake hivi vijiti karibia vining'oe meno..!
 
Jaribu kwenda kwenye maduka makubwa makubwa ya dawa baridi uwaulizie. Kwenye haya maduka yetu mengine ya akina Mangi sidhani kama unaweza kuzipata hizo dental floss.
 
Babu DC hapo kwenye soksi hapo achana napo kabisa kuna jamaa aliishawahi kusema ni wanaume wachache sana wenye pair za socks zinazozidi kumi

Mbona hukumuuliza wanaume wengi wana chupi ngapi???? Nadhani hazizidi 2 na bukta moja!!

Wakati niko sekondari nilikuwa na VIP 3 (aina ya chupi ya enzi zetu) tu, na nahisi nilikuwa star!!
 
Mkuu Ngabu hiyo flossing hufanyikaje, nitaweza kununua wapi vitendea kazi vyake hapa Tz? Manake hivi vijiti karibia vining'oe meno..!
Nenda JD Pharmacy utazipata dental floss
 
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.

Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)

Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!

Hii article niliisoma kwenye guardian siku moja it was very interesting ila aliyeandika kiingereza chake cha kuungaunga yaani ukisoma unaona kichefu chefu. Kuhusu kunuka mdomo ni kweli kabisa, yaani kuna jamaa akiongea kama chumba ni kidogo unaweza kuzimia ila tatizo unaanzaje kumwambia? mwe!!
 
Dah! utafiti huu umefanywa na hao waganga kutoka Msumbiji walikuwepo huko Mtwara.Nalog off
 
Ok...sasa hiyo story ndio ilikuwa interesting au kiingereza chake ndiyo interesting? but anyway hii mada ina ukweli sana ingawa wabongo hawataki kuambiwa, kwani zitakazorushwa hapo!!
 
Moja iko pale round about Askari Monument inatizamana na Hifadhi House nyingine iko Mlimani City ukiingia ndani inatizamana na Benki ya NBC na Photo Point

Hiyo ya Mlimani City siku moja nilienda kuulizia kama wana astringent na dental floss wakasema hawana. But it could just be that they were out of stock.
 
Dah! utafiti huu umefanywa na hao waganga kutoka Msumbiji walikuwepo huko Mtwara.Nalog off

Washawasha hauna dogo!! Source ya utafiti si nishaiandika hapo juu??au umekimnilia kupost tu kabla hujasoma sawasawa!!
 
Moja iko pale round about Askari Monument inatizamana na Hifadhi House nyingine iko Mlimani City ukiingia ndani inatizamana na Benki ya NBC na Photo Point

Bei yake inarange vp??kwa chupa??
 
Usafi wa kinywa Watu wengi umetupitia kushoto. Ni wachache sana kati yetu tunaokwangua ndimi zetu mara mbili kwa siku. Ni wangapi tunajua hata kama kuna tongue scrapers zilizo mahsusi kwa kazi hiyo tu?

Tongue scrapers ni muhimu sana katika kupigana na bad breath. Wale anaerobic bacteria wanaosababisha mdomo kunuka hujizalia sana kwenye ndimi hasa kwa sehemu ya nyuma kule karibu na koromeo. Sehemu ingine ambao hao bacteria wanapenda kujihifahi ni kwenye paa la kinywa (palate). Huko nako mtu unapaswa kupitisha mswaki.

Flossing. Idadi kubwa kati yetu hawajui flossing ni nini. Flossing husaidia sana katika kuondoa mabaki ya chakula yaliyonasa katikati ya meno. Sasa fikiria mtu anakula mchemsho, viepe, kitimoto, na vinginevyo halafu hakuna cha kufloss wala nini. Badala yake anatumia kijiti. Yale mabaki ya chakula yakikaa sana katikati ya meno huwa yanatoa harufu.

Na vile vijiti huwa havifikii sehemu nyingi tu za meno na hata huko zinakofika huwa havifanyi kazi sawa na nyuzi za flossing. Mtu ambaye hajawahi kufloss humu ndani na ajaribu siku moja aone jinsi ambavyo flossing ilivyo effective.

Mouthwash. Ni wachache sana tunaotumia mouthwash. Hizi nazo husaidia sana katika kuua harufu mbaya. Mtu ukishamaliza kuukwangua ulimi wako, ukishamaliza kufloss, ukishamaliza kusugua meno yako pamoja na paa la kinywa na fizi unasukutua na mouthwash kabla ya kusukutua na maji. Mtu ukizingatia na kufanya huo mchakato utakuwa umelipunguza tatizo la harufu mbaya kwa kiasi kikubwa sana.

Mwisho watu wengi hawajui kuwa kikubwa kisababishacho harufu mbaya mdomoni ni anaerobic bacteria. Hawa ni bacteria ambao hushamiri pasipo na oxygen ya kutosha. Sasa mdomo mara nyingi huwa unafungwa na hivyo kupelekea hao bacteria kujizalia na kushamiri.

Kwa hiyo hapo la msingi, baada ya kuzingatia yote hayo yahusuyo usafishaji ni muhimu pia kuuweka mdomo kuwa oxygenated mara kwa mara. Na hili linawezekana kwa kunywa maji throughout the day. Sisemi unywe maji kama ng'ombe. Just space out your water intake without long intervals in between and you'll be straight for the most part.

Hayo yote ukiongezea na routine teeth cleaning performed by a qualified dentist should do it in getting rid of bad breath.

Asante mkuu. Mwalimu wangu wa 'sayanzi kimu' hakufanya kazi yake vizuri!
 
Bei yake inarange vp??kwa chupa??

Lol...dental floss haiji kwenye chupa kaka

floss.JPG
 
Back
Top Bottom