Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu DC hapo kwenye soksi hapo achana napo kabisa kuna jamaa aliishawahi kusema ni wanaume wachache sana wenye pair za socks zinazozidi kumi
Umeanza vizuri, Umemaliza vibaya!Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
Mkuu Ngabu hiyo flossing hufanyikaje, nitaweza kununua wapi vitendea kazi vyake hapa Tz? Manake hivi vijiti karibia vining'oe meno..!
Babu DC hapo kwenye soksi hapo achana napo kabisa kuna jamaa aliishawahi kusema ni wanaume wachache sana wenye pair za socks zinazozidi kumi
Nenda JD Pharmacy utazipata dental flossMkuu Ngabu hiyo flossing hufanyikaje, nitaweza kununua wapi vitendea kazi vyake hapa Tz? Manake hivi vijiti karibia vining'oe meno..!
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
Nenda JD Pharmacy utazipata dental floss
Hii article niliisoma kwenye guardian siku moja it was very interesting ila aliyeandika kiingereza chake cha kuungaunga yaani ukisoma unaona kichefu chefu. Kuhusu kunuka mdomo ni kweli kabisa, yaani kuna jamaa akiongea kama chumba ni kidogo unaweza kuzimia ila tatizo unaanzaje kumwambia? mwe!!
Moja iko pale round about Askari Monument inatizamana na Hifadhi House nyingine iko Mlimani City ukiingia ndani inatizamana na Benki ya NBC na Photo Pointmkuu hii famasi iko pande za wapi?
Moja iko pale round about Askari Monument inatizamana na Hifadhi House nyingine iko Mlimani City ukiingia ndani inatizamana na Benki ya NBC na Photo Point
Usafi wa kinywa Watu wengi umetupitia kushoto. Ni wachache sana kati yetu tunaokwangua ndimi zetu mara mbili kwa siku. Ni wangapi tunajua hata kama kuna tongue scrapers zilizo mahsusi kwa kazi hiyo tu?
Tongue scrapers ni muhimu sana katika kupigana na bad breath. Wale anaerobic bacteria wanaosababisha mdomo kunuka hujizalia sana kwenye ndimi hasa kwa sehemu ya nyuma kule karibu na koromeo. Sehemu ingine ambao hao bacteria wanapenda kujihifahi ni kwenye paa la kinywa (palate). Huko nako mtu unapaswa kupitisha mswaki.
Flossing. Idadi kubwa kati yetu hawajui flossing ni nini. Flossing husaidia sana katika kuondoa mabaki ya chakula yaliyonasa katikati ya meno. Sasa fikiria mtu anakula mchemsho, viepe, kitimoto, na vinginevyo halafu hakuna cha kufloss wala nini. Badala yake anatumia kijiti. Yale mabaki ya chakula yakikaa sana katikati ya meno huwa yanatoa harufu.
Na vile vijiti huwa havifikii sehemu nyingi tu za meno na hata huko zinakofika huwa havifanyi kazi sawa na nyuzi za flossing. Mtu ambaye hajawahi kufloss humu ndani na ajaribu siku moja aone jinsi ambavyo flossing ilivyo effective.
Mouthwash. Ni wachache sana tunaotumia mouthwash. Hizi nazo husaidia sana katika kuua harufu mbaya. Mtu ukishamaliza kuukwangua ulimi wako, ukishamaliza kufloss, ukishamaliza kusugua meno yako pamoja na paa la kinywa na fizi unasukutua na mouthwash kabla ya kusukutua na maji. Mtu ukizingatia na kufanya huo mchakato utakuwa umelipunguza tatizo la harufu mbaya kwa kiasi kikubwa sana.
Mwisho watu wengi hawajui kuwa kikubwa kisababishacho harufu mbaya mdomoni ni anaerobic bacteria. Hawa ni bacteria ambao hushamiri pasipo na oxygen ya kutosha. Sasa mdomo mara nyingi huwa unafungwa na hivyo kupelekea hao bacteria kujizalia na kushamiri.
Kwa hiyo hapo la msingi, baada ya kuzingatia yote hayo yahusuyo usafishaji ni muhimu pia kuuweka mdomo kuwa oxygenated mara kwa mara. Na hili linawezekana kwa kunywa maji throughout the day. Sisemi unywe maji kama ng'ombe. Just space out your water intake without long intervals in between and you'll be straight for the most part.
Hayo yote ukiongezea na routine teeth cleaning performed by a qualified dentist should do it in getting rid of bad breath.