Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Haa Haa Haa Haa HaaMbona viatu vinafanana na vya watendaji wa vijiji
Haa Haa Haa Haa Haa
aseeView attachment 1956357
Hiki kiatu kinataka kufanana kama viatu wanavyovaa wajumbe wa ccm kwenye kura za maoni
80k ndugu,Niuzie hilo kapeti mkuu!
Niuzie hilo kapeti mkuu!
Camera unayotumia ndio inakuangusha
Amekinadi Kote Oops!!! BaelezeeMkuu hicho kiatu kina maajabu sana jamaa nimeona hadi tweeter amekipost
Mashuka dizain hayo umenunua wapi mkuu?Hivi viatu naviuza bei ya kutupa vyote ni vya ngozi ngumu, utatumia utavichoka mwenyewe.
Naviuza bei ya kutupa vyote pair 2 jumla ni 50k tu.
Kikubwa hiko no 45 kidogo no 44
Location dsm
No 0654757823
View attachment 1956364
View attachment 1956366
View attachment 1956383
View attachment 1956385
Mashuka dizain hayo umenunua wapi mkuu?
Nimelipenda sana
Ndugu punguza dharau, kama wewe sio mlengwa havikufai bora ukae kimya.Mbona viatu vinafanana na vile vya makatekista wa vigango vya songea