52 week saving challenge imeanza tayari

Nimevutiwa ila nais sijaelewa embu naomba unielezee kidogo.
 
Kama ujaelewa vizuri angalia hii.
 
Attachments

  • Screen Shot 2013-12-31 at 2.53.12 PM.png
    18.8 KB · Views: 100
Hii ni njia nzuri sana ya kusave pesa na kujiwekea malengo. Kikubwa uwe na nidhamu ya kusave. Na unaweza print hii karatasi ukaweka sehemu ambayo utaiona kila siku ili ikukumbushe juu ya "deni " lako.
 
Kweli kabisa OLIVIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…