kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Hii ni nzur sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana mchezoni Huwezi kushindwa! Tutajuzana J2Ngoja niunge tela namimi hope ntaweza kumaliza
Hapa parefu sana mkuu!
kaka wewe mbali... mimi kuanzia kumi kumi hapo!Mh hapo kuanzia wiki ya 30 napumulia mashine
Karibu mkuu (update j2)Nimeipenda sana ngoja na mi nianze
Jitahidi boss [emoji1] [emoji1] [emoji1]kaka wewe mbali... mimi kuanzia kumi kumi hapo!
Basi hivi ndio nimeamua kuanza mwaka!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Nimepata hili wazo la kuweka akiba kila wiki kutoka kwa mmoja warafiki zangu anayeishi Kenya. nikajaribu kulifikiria mara mbili mbili huku swali kubwa ikiwa nitawezaje kufikia lengo hili?
Mwisho nikakumbuka ni afadhali anayejaribu na kushindwa kuliko anayekaa kulalamika na kusema siwezi hiki, siwezi kile.
"TUNAWEKAJE AKIBA"
Tulianza jumapili ya kwanza mwaka huu na tulianza na kiasi cha shilingi 1000 na kila wiki tunaongeza 1000 ingine juu ya ile tulioweka wiki iliyopita.
Mfano wiki ya kwanza tuliweka 1000 wiki ya pili tunaweka 2000 wiki ya tatu tutaweka 3000 wiki ya nne tutaweka 4000 hivi ndivyo inavyoenda hadi kufika wiki ya 52 tutakua tumeweka kiasi cha 1,378,000 kwa kila mmoja.
hadi kufikia sasa nimeweza kushawishi baadi ya rafiki zangu 9 ambao tupo nao pamoja tunaendelea na huu mchezo kumbuka leo ni wiki ya 4 hivyo leo tunapaswa kuweka 4000 kwenye akaunti zetu za akiba ikiwa tutafanikiwa kufika mwisho tukiwa pamoja hivi tukichanganya hela hizi (kwa atayependa) tutakua na kiasi cha 12,402,000 ambayo tunaweza kukubaliana kufanya kama mtaji wa biashara yeyote ambayo tutaona inalipa kwa kipindi hicho.
Kila mmoja anatunza hela yake peke yake ili kuepusha kutoaminiana,
Tumeonelea ni rahisi kuweka akiba M-PAWA ya voda kwani hakuna makato yeyote kwa kuweka au kutoa hela. Ukishaweka akiba yako unatuma ile sms ya uthibitisho kwamba tayari umeweka akiba katika kundi tulilolianzisha Whatsapp ili iwe changamoto kwa wale ambao bado hawajaweka waweze kuweka mara moja.
Unaweza kuona mfano wa fomu tunazotumia kutiki kila wiki tukiweka akiba katika picha.
Kama umevutiwa na Idea hii ama una swali lolote unaweza kuniuliza nikakusaidia.
Ahsanteni na karibuni sana.
52 WEEK SAVING CHALLENGE.
--------------------------------------------------------------------------
Naomba Share na wengine pia
View attachment 462515
You're welcome!I like this idea.
Wapi hujapaelewa mkuu?Nimevutiwa ila nais sijaelewa embu naomba unielezee kidogo.
Nipe email address nikutumie.Unaweza nitumia softcopy yake kaka. Naomba tafadhali
take it easy bro!Sitaki kuamini kwamba umeanza siasa chinga anyway thanks
Wapi hujapaelewa mkuu?
Karibu sana mkuuNimekusoma mkuu asante. Kuna kitu nilikuwa na changanya
Unakaribishwa!!Nimejiungaaa.