MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
- Thread starter
-
- #101
dah huu mchez nilisema nacheza nikaja kupoteza hii post leo ndo nimeipata naanza sasa rasm
Wakuu naomba money saving kwa mtu wa kipato kidogo hasa mwanafunzi wa chuo maana idea nzuri hii
Mkuu naona hii system yenu ni nzuri sana,unaweza kuniunganishaa?
Nimekuelewa Sana acha nianze mdogo mdogoUnaweza kutumia mfumo huu huu ila ukapunguza kiasi cha kuweka kulingana na kipato chako
Dazen saving challenge
Kuanzia week ya 30 siyo masihara mtu ujipange haswaaHii nilimaliza nayo mwaka ulopita inasaidia sana na ukisahaanza inakuwa inakushawishi kuendelea..
Hahahah kabisa mkuu.. but hakuna linaloshindikanaDu
Kuanzia week ya 30 siyo masihara mtu ujipange haswaa
Wanawezaje kukuibia pesa bila ya kukutapeliGood idea,ila nina wasiwasi na mtandao mlio amua kuutumia kusave pesa zenu vodacom hawa aminiki ni wepesi wa kuuza taarifa za wateja wao...otherwise ni bonge moja la idea nimeipenda!