52 week saving challenge imeanza tayari

52 week saving challenge imeanza tayari

Hii nilimaliza nayo mwaka ulopita inasaidia sana na ukisahaanza inakuwa inakushawishi kuendelea..
 
Good idea,ila nina wasiwasi na mtandao mlio amua kuutumia kusave pesa zenu vodacom hawa aminiki ni wepesi wa kuuza taarifa za wateja wao...otherwise ni bonge moja la idea nimeipenda!
Wanawezaje kukuibia pesa bila ya kukutapeli
 
Back
Top Bottom