52% ya Kenyan "revenue" hutumiwa na 1.5% ya Population kama mishahara.

Kwahiyo hata rais wenu anayelalamika hajui kitu ni mpuuzi?, kwahiyo hata hivyo viwango vilivyowekwa na UN pia havina maana, ila wewe ndiye unayejua kila kitu?.

Unasema serikali haifanyi biashara ila ni private sector, mbona mnataka kuichukua KQ kutoka mikononi mwa private sector iwe chini ya serikali ili ifanye biashara?, mbona Mombasa Port na JKIA hamtaki kuviachia kwa private sector?.

Tatizo la Kenya mnajifanya wajuaji sana wakati vichwa vyenu havina uwezo wowote wa kufikiria. Haiwezikani 52% ya makusanyo ya nchi kulipa mishahara ya wafanyakazi, na bado serikali ikabaki na pesa ya kuhudumia nchi nzima, tena hiyo 52% inakwenda kwa only 1.5% ya population, hiyo ndio sababu Kenya inashika nafasi ya mwisho katika " Economic inclusiveness ".
 
Very lame excuses:
There is nothing special about kenya and its private sector, and there is no excuse for using 52% revenue to pay salaries. for your information 97% of all Jobs in TZ are from private sector, only 3% from GoT
View attachment 1132323
I agree or put it the other way you agree with me no good reason for a52% wage bill(assuming joto is right).
Kenya's private sector working environment is condusive reliable and almost certain and does not relay on how an authority has woken up or feels, thats the difference.
3% of tzs population are civil servants?is that a good thing. How productive,how efficient are they in terms of service delivery in comparison to kenyas.
 
The issue is not about Civil servant productivity which both countries suffer greatly due to Corruption in kenya and Lack of skilled manpower in Tz.
The issue is that you cannot use KE private sector as an excuse
 
Sasa mbona hueleweki?, kinachopingwa ni Kenya kuvuka viwango vya kimataifa katika kuelekeza pesa zake.

Tanzania wage bill yake ni 33% ya monthly revenue, tena hiyo 33% inagawanywa kwa 3% ya population(yaani tunagawana kidogo kinachopatikana kwa watu wengi), debt to GDP ratio ni 36%, Wage to GDP ratio is only 4%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…