joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Kwahiyo hata rais wenu anayelalamika hajui kitu ni mpuuzi?, kwahiyo hata hivyo viwango vilivyowekwa na UN pia havina maana, ila wewe ndiye unayejua kila kitu?.Crooked way of seeing things as always. The 52% = government services ama wanalipwa kukaa kwa ofisi and By the way that's the money inayomfikia common mwananchi kule mashinani kwa urahisi.
2) Am one of the remaining 98% who earn from the private sector, the source of the same government monies.Our economy is private sector driven and So the work of gov is enabling and not doing business.The remaining 48 Carters for your last point including paying loans.
That said I agree with you we have a bloated civil service.52% is a bit on the upper side and I think gov should work on it
Unasema serikali haifanyi biashara ila ni private sector, mbona mnataka kuichukua KQ kutoka mikononi mwa private sector iwe chini ya serikali ili ifanye biashara?, mbona Mombasa Port na JKIA hamtaki kuviachia kwa private sector?.
Tatizo la Kenya mnajifanya wajuaji sana wakati vichwa vyenu havina uwezo wowote wa kufikiria. Haiwezikani 52% ya makusanyo ya nchi kulipa mishahara ya wafanyakazi, na bado serikali ikabaki na pesa ya kuhudumia nchi nzima, tena hiyo 52% inakwenda kwa only 1.5% ya population, hiyo ndio sababu Kenya inashika nafasi ya mwisho katika " Economic inclusiveness ".