56% of Kenya Population living in slums, (% of urban population)

56% of Kenya Population living in slums, (% of urban population)

Hawa watu nivituko
Ukiwakuta mitandaoni utadhani ni viwango vingine kabisa
Nenda Kenya has a vijijni
Mbona utasikitika ,
Mlo tu shida
Hali ni Mbaya Mbaya
Uchumi wanao pigia kelele upo kwa Mafisadi
Wananchi hali mbaya
 
Pwahahahaha. Your country is a middle economy. Mnazidiwa na nchi ya TZ ambayo siyo middle economy.
Hatari sana wa kujiteKENYA.
siuweke za bongo wacha kelele...ama huzioni
 
waliosema kenya ni uchumi wa kati na haohao wamewapatia hizi takwimu....sio sisi
Kwahiyo leo unakataa kenya sio nchi ya uchumi wa kati? Naomba tukubaliane kwanza ili tupunguze kuwapa za uso.
 
Kwahiyo leo unakataa kenya sio nchi ya uchumi wa kati? Naomba tukubaliane kwanza ili tupunguze kuwapa za uso.
unashida yakuelewa au?umeona nmekataa...mnapinga kenya sio middle income then mnazunguka mnarudi kwa walewale waliosema iko middle income na hizi taarifa.so they are only ryt when it suits you...even developed countries have slums
 
Which developed country has slums?
Huoni aibu yaani developed country iwe na slum 56% ya population.

It is almost all people in kenya live in slum.
 
kwahiyo wengine wakae nao kisa na maana mkenya mwingine hajitumi....ntajituma kivyangu anayetaka kukaa slum aendelee kukaa uko akitaka kutoka atajituma pia
Therefore most of kenyans are lazy. Cause more than half of population live in slum.
 
Which developed country has slums?
Huoni aibu yaani developed country iwe na slum 56% ya population.

It is almost all people kenya live in slum.
there are slums in south africa,brazil,mexico,india even usa..and a word of advice,use swahili plz..you suck big time in english
 
there are slums in south africa,brazil,mexico,india even usa..and a word of advice,use swahili plz..you suck big time in english
Give me the statistical report to support your comment.
 
report ya kuwa kuna slum sa,india,usa,mexico..i thought that was basic knowledge
Do you think because you live in slum each country does!!!
Wakeup my friend kenyatta elite eating your country.
 
Do you think because you live in slum each country does!!!
Wakeup my friend kenyatta elite eating your country.
and what do you understand by the term slum anyway....kuwa nikinyumba cha mabox au.for your information dar is known to be more than 50% slum
 
Back
Top Bottom