Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
Next levels, Even the Name KIBERA resemble to SLUMS, 🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwikwikwi. It is known by who!!!?.and what do you understand by the term slum anyway....kuwa nikinyumba cha mabox au.for your information dar is known to be more than 50% slum
Unfortunately, none of those places u mentioned are slums..Peleka iyo ujinga yako tandale, manzese, mbagala, mtaa wa ghana wenye uko mwanza kabla ya kutujaribu wakenya
Labda anataka tuanze nasisiKwikwikwikwi. We are talking about slums. Mbona unapindisha mada wewe?
Minafikiri ifike wakati Moderator muwe mnafanya kazi stahiki this is offensive and barbaric torture hapa unafikiri hawa ndugu zetu wenye albinism wanajisikiaje unapowakebehi hivi siioni kabisa accountability ya @maxmello hapa JF ifike mahali utu upewe kipaumbele tunaongea kuhusu slums sijui albino kafikaje hapa.
Leo nilikua natoa nondo za maana kwenye thread flani jukwaa la siasa @mods mkazifuta posts zangu zilizokua informative and facts lakini hii bloody disgrace mnaiacha inapeta tu.
Pathetic.
Peleka iyo ujinga yako tandale, manzese, mbagala, mtaa wa ghana wenye uko mwanza kabla ya kutujaribu wakenya
Yani sio sawa kabisa mkuuUmeona !!!
Sasa ndio ume comment nini sasa?Wabongo bhana sometimes cjui tunasumbuliwa na nini yani hata sielewi...sasa kama kenya 56% wanaishi kwenye slums
Wewe inakuhusu nini? C wenyew tunaishi tu kwa neema na nguvu za maulana n wengi wetu hatujui kesho yetu itakuaje..yani tuna matatizo kibao alaf mtu unaenda google usenge kuuleta humu ili mradi tu uonekane umeleta uzi na umepata wachangiaji.
Then tulivyo wajinga hizi kashfa tunapeana wa afrika wenyewe kwa wenyewe. Wakitoa wazungu mna mind
We una ona nimecomment nini kwani?Sasa ndio ume comment nini sasa?
Stress zako na familia yako usituletee kwe social media.
Ndio maana hizi ni social media unatakiwa uwe mpole. Sindano ikikuingia unasikilizia maumivu kimya kimya. Sio kutoa povu hovyo hovyo. Wewe huoni hizo data zimetoka world bank.
Hutaki tujuzane mambaya?
Africa itaendelea vipi tusipoongea mabaya?
Nenda shule kidogo ujue matumizi ya mitandao
Halafu nakushangaa sana. Kwenye akili yako unajua taarifa zinatokea google tu.
Acha ufinyu wa kufikiria wewe
Kweli gani huo zaidi ya huu wa kusema 56% ya wakenya mijini wanaishi kwenye slums.We una ona nimecomment nini kwani?
Halafu izo stress nizitoe wapi kwa mfano? Sina njaa mdada ila ndo ukweli ambao hatupendi kuambiana
Wabongo bhana sometimes cjui tunasumbuliwa na nini yani hata sielewi...sasa kama kenya 56% wanaishi kwenye slums
Wewe inakuhusu nini? C wenyew tunaishi tu kwa neema na nguvu za maulana n wengi wetu hatujui kesho yetu itakuaje..yani tuna matatizo kibao alaf mtu unaenda google usenge kuuleta humu ili mradi tu uonekane umeleta uzi na umepata wachangiaji.
Then tulivyo wajinga hizi kashfa tunapeana wa afrika wenyewe kwa wenyewe. Wakitoa wazungu mna mind
The middle economic east africa country(Kenya) has 56% of population who live in slums
The statistic shows that on 2009 the population was 54.7%.
It seems that the population of citizens living in slums increases day after day by 2%
If each 5 years the population of people live in slums increases by 2%,is estimated that from 2014 to 2034 the population of people live in slums will be 70%.
Source: Population living in slums, (% of urban population) | Data
Auco unajikuta mwenyeji[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe kama mgeni wa jukwaa hili kaa kimya
Naona unajiteKENYA na unacheka mwenyewe. Hiyo report nimesoma inaelezea watu wanaoishi kwenye un planned areas. Hapa tunaongelea wale wanaoishi kwenye slums.Graphics Library >> Zambezi River Basin - Atlas of t ... >> Proportion of urban dwellers ...
Proportion of urban dwellers living in slum conditions in Tanzania
This graphic may be reproduced in any form for educational or non-profit purposes without special permission from GRID-Arendal, provided acknowledgement of the source is made. GRID-Arendal would appreciate receiving a copy of any publication that features this graphic.
No use of this graphic may be made for resale or any other commercial purpose whatsoever without prior permission in writing from GRID-Arendal. Applications for such permission, with a statement of the purpose and extent of the reproduction, should be addressed to grid@grida.no.
Uploaded 21 Oct 2013 by GRID-Arendal
Year: 2013
From collection: Zambezi River Basin - Atlas of the changing Environment
Author: GRID-Arendal
Description:
The population living in unplanned peri-urban settlements has been decreasing as a proportion of total urban population, while the urban population has also been increasing. Therefore the numbers have been increasing while the proportion has gone down. Both impact on the extent of slum areas. About 70 per cent of urban residents in most cities in Tanzania live in unplanned settlements, slums or squatter areas. A special programme to upgrade these unplanned urban settlements is being implemented in two phases: First is identification and registration; and second is upgrading infrastructure and utility services. In addition, plot surveying and allocation is being done, with about 55 000 plots surveyed and allocated since
70% OF TANZANIANS LIVE IN SLUMS