56% of Kenya Population living in slums, (% of urban population)

Uwanja wa fisi,Uwanja wa fisi,Manzese,Mwananyamala kwa kopa,Tandale,Kinondoni makaburini,Magomeni,GonGolamboto,Mabibo....
Kibera slums, ni hatari dunia nzima.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kibera hata ukiiangalia umbali wa kilometer 5, utapiga chafya mpaka uzimie na ukiifikia basi tayari una kipindupindu.

Hahaha...You clearly are in self denial.Kipindupindu si kwao ni Dar es salaam????Kila kukija si msimu wa mvua si wa kiangazi!!!The most Dangerous slums with funny names mpaka sijui uwanja wa fisi sijui makaburini si yote yako Dar????
 
Naona kiswahili chako kimepatwa
 
Kibera hata ukiiangalia umbali wa kilometer 5, utapiga chafya mpaka uzimie na ukiifikia basi tayari una kipindupindu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umeitendea haki jioni yangu
 
Hahaha...You clearly are in self denial.Kipindupindu si kwao ni Dar es salaam????Kila kukija si msimu wa mvua si wa kiangazi!!!The most Dangerous slums with funny names mpaka sijui uwanja wa fisi sijui makaburini si yote yako Dar????
Wewe ni mkazi wa kibera au Rongai?

Bila shaka ni kibera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
See,..Kumbe am talking to one who has rotten egg smell in between the ears.Pass,Am done with Povu hapa......
 
Hujajibu swali langu mkuu

Wewe ni wa Kibera?
 
Waokoe wenzako wa mabatini mwanzo.Acha mambo ya Kiswahili hapa.
1476903666823.jpg
Kibera hii, je nyumba yako ni ipi kati ya hizi?
 
Back
Top Bottom