GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
- Thread starter
- #21
Hiyo mionzi ni mionzi gani na ina frequency ya ngapi?
Unaandikaje vitu kama mtoto wa darasa la kwanza?
Ni more than 2.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mionzi ni mionzi gani na ina frequency ya ngapi?
Unaandikaje vitu kama mtoto wa darasa la kwanza?
Kwa akili zipi ?
Aisee hatari sasa duh.....!!Kuna mjadala mkubwa Twitter kuhusu covid 19 and 5G
Ukiangalia covid hit sehemu zenye minara ya 5g huo ndio ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Napoteza muda wangu bure. I rest my case.
Halafu akawaambia wafuasi wake kwamba hiyo ni fresh toka kwa Mungu.Gwajima aliipata hapa nadhani!
Corona sio 5g ila pia 5g ni hatari ina mionzi mikali sana inayoathiri seli za mwili wa binadamu. Uk nafikiri na USA wamezuia kutumika 5g kwao pending investigation.
Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
And?Tumeshuhudia Youtuber wakifanya testing ya 5G kwenye hizo nchi ulizotaja...
Why 5G Cell Towers Are More Dangerous – Get The Facts! | Radiation Health RisksTumeshuhudia Youtuber wakifanya testing ya 5G kwenye hizo nchi ulizotaja...
And?
Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
Exactly, sio kwamba walikuwa hawajui kwamba 5G ina madhara wanataka kuifanyà iyo covid 19 iwe big deal kama AIDS5G itasababisha surfing at explosive speed na hivyo kuwarahisishia hao waabudu ibilisi mipango yao ovu wanayopanga juu ya binadamu na dunia. Hii ishu ya korona inaweza kuwa turning point ya matukio makubwa sana duniani, mithili ya lile tukio la kuwatoa waisraeli kule utumwani Misri, tuendelee kuwa macho...