Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes starlink ipo vizuri huko vijijini, na hata vijijini siku hizi intranet fresh tu. ila mjini sidhani kama starlink atakuwa msaadaStarlink internet itapatikana mpaka Mpitimbi ndani ndani, hawa watoa huduma wetu wa sasa sehemu nyingi nje ya miji hakuna mtandao au mtandao uko chini
5G hiyo ni gereshaIPO bwana. Kwa Nini unasema hivyo wakati, Airtel, Vodacom, tiGO-Zantel watoa huduma ya 5G nchini? Na halotel ipo kwenye hatua ya mwisho kuleta 5g
Starlink ni Dish, ni internet ambayo unatumia eneo moja tu, kama upo nyumbani utatumia tu hapo nyumbani huwezi tumia kwenye simu.Kwa kujibu swali lako, 5g itanisaidia Kasi. Alafu mbona simu za 5G zipo hata za midrange zimejaa pale kariakoo. Hata starlink itahitaji simu ya smart ili kujiunga. Samsung a50s zipo za 5g kibao TU.
Boss Wakikuacha sana Starlink basi bei ni 100,000-150,000 kwa mwezi ila kikawaida anacharge around 200,000-300,000 kwa mwezi. Hizo za 30,000 ni kujipa tu Matumaini.Inawezekana wewe ni Mjinga ama ni Mpumbavu,nothing more nothing less
Facts:-kuhusu mitandao ya simu*
1.Mitandao ya simu ina miaka zaidi ya 20 imeshindwa kufikisha 3G tu,vijijini itakua hio 5G,Ok tuwape miaka 50 na ngapi
2.Mitandao ya simu inatoza GB 1=2100/=,hivi si ni mpumbavu pekee atafurahia huu usengerema
3.mitandao ya simu inaweza zimwa na wanasiasa,kumbuka Kuna watu wnaafanya aggressive business online,hawaitaji network breakdown
Facts kuhusu Starlink
1.GB 50=elfu 30,yaani 1G=600Tsh,ni mpumbavu kama wewe ndio utakataa hii faida
2.unaweza access 10MBPS hata ukiwa maporini ambapo mitandao uchwara haifiki
3.ukilipia mfano hio GB 50,unaweza unganisha devices zaidi ya 200
4.wanasiasa wapenda madaraka hawawezi kukata network
Je wewe ni mjinga ama ni mpumbavu?
Hapo sasa unajipendelea. Na zingatia,bishara ni kuwafikia wengi si kulenga eneo furaniKwa kujibu swali lako, 5g itanisaidia Kasi. Alafu mbona simu za 5G zipo hata za midrange zimejaa pale kariakoo. Hata starlink itahitaji simu ya smart ili kujiunga. Samsung a50s zipo za 5g kibao TU.
5G ipo Tanzania, useme tu coverage sio kubwa ipo katikati ya Miji. Huwezi pata speed ya 1GBps ama zaidi bila 5G.Huduma Yoyote Ikiwa na Mshindani Inakuwa Bora Huduma za Mitandao yetu ni Hovyo kwa kuwa hwana mshindani wao..
Hiyo 3G nA 4G yenyewe Imewashinda kusambaa leo unataka wasambaze 5G labda Miaka 30 Ijayo
Nani anataka internet inashika mijini pekee..5G ipo Tanzania, useme tu coverage sio kubwa ipo katikati ya Miji. Huwezi pata speed ya 1GBps ama zaidi bila 5G.
Yeah Lakini 100% haipo mikoani..5G ipo Tanzania, useme tu coverage sio kubwa ipo katikati ya Miji. Huwezi pata speed ya 1GBps ama zaidi bila 5G.
Latency ya starlink ni 100ms mpaka 150ms ukanda wetu, kusema imeachwa kidogo si kweli, 3G kibongo bongo ikiwa vizuri inafika hadi 30ms ina maana ina speed mara 3-5, 4G na 5G nyingi zina latency way better Than starlink.Starlink ina speed ya 5G sasa sijui unazungumzia kitu gani...
5G speed ni kuanzia 50 Mbps hadi 250 Mbps na 5G ni 50Mbps hadi 2 Gbps...
Starlink ina speed ya 5G na ikiingia Tanzania utaona inaitoa 5G kwa speed, hio 2Gbps sio kwa nchi kama Tanzania, labda Korea , Japan n.k.... usitegemee 5G ya bongo itafika hata 300 Mbps...
Latency starlink imeachwa kidogo ni kwa sababu starlink inafanya kazi mahala popote, hata uwe pori au kijiji cha aina gani hakuna network yenyewe inashika tena kwa speed kubwa... Latency sio issue zinaachana kwa milliseconds, i dont care kuhusu milliseconds..
Starlink ni nextlevel.. usifananishe na uchafu unaitwa 5G ya bongo...
Ukija kwenye price starlink ni kinara...
Huna akili...
Sijaitumia wala sina shida na 1Gbps sina matumizi nayo, kustream 4K around 25mbps inatosha.Nani anataka internet inashika mijini pekee..
Hio 1Gbps wewe ulishaitumia?
Unajidanganya sana, starlink wana mini starlink hivi sasa ina ukubwa wa tablet, na unazunguka nayo kwenye gari, au popote, hio 5G inafika hata nje ya mji?Starlink ni Dish, ni internet ambayo unatumia eneo moja tu, kama upo nyumbani utatumia tu hapo nyumbani huwezi tumia kwenye simu.
Watoa huduma sio tatizo tatizo ni TCRA na Serikali, kuna kipindi watoa huduma walikuwa wanatoa bundle bure before TCRA kuleta mambo ya be elekezi...Watoa huduma hawawezi kuwekeza zaidi ya hapa kwa sababu hawana ushindani, waje Starlink Satellite internet 🛰️ kuongeza ushindani wa biashara ya internet nchini. Nafikiri hii imekaa vizuri.
Who cares hata wakija wengine elfu tisini ? Iwapo hatutoi gharama ya kodi zetu na ni mfanyabiashara mwenyewe ndio anafanya good luck to him / Ingawa mfanya biashara huyu ni mpuuzi na emotional hivyo sio vema kumtegemea pekee kuwa na back up...., Anaweza kuamka na kuamua kuzima....Kwa Nini tusiwape muda Hawa watoa huduma wetu kuwekeza 5G Yao iwepo kila mahali hapa nchini? Sababu Kwa Dunia ya Sasa hivi inahitaji internet yenye Kasi na 5G ipo vizuri kwenye Hilo?
Sent using my Iphone 16 pro max
Tatizo mna siasa nyingi yote ni kuiogopa starlink..Latency ya starlink ni 100ms mpaka 150ms ukanda wetu, kusema imeachwa kidogo si kweli, 3G kibongo bongo ikiwa vizuri inafika hadi 30ms ina maana ina speed mara 3-5, 4G na 5G nyingi zina latency way better Than starlink.
Pia 5G speed kama una jiweza ipo hadi 1gbps Tigo na Voda pia walikua na option ya ku upgrade 1Gbps.
Kwamba unazunguka na dish, waya, power supply router etc kama hivi unakula mishe mishe zakoUnajidanganya sana, starlink wana mini starlink hivi sasa ina ukubwa wa tablet, na unazunguka nayo kwenye gari, au popote, hio 5G inafika hata nje ya mji?
Sasa mnachopiga kelele 1Gbps ni ya kazi gani, labda kwa kutumia na servers una kampuni ya hosting...Sijaitumia wala sina shida na 1Gbps sina matumizi nayo, kustream 4K around 25mbps inatosha.