Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Kwamba wamebeba peki za kijeshi kama wako kozi au vitaniUsijali mkuu, inakuja tutawaona na Antena zenu mkitembea, kilo 5 mpaka 10 begani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wamebeba peki za kijeshi kama wako kozi au vitaniUsijali mkuu, inakuja tutawaona na Antena zenu mkitembea, kilo 5 mpaka 10 begani
Leta takwimu zake specifically for TanzaniaSina utaalam wa masuala ya teknolojia ingawa napenda kufuatilia kwa kuwa teknolojia inakuwa siku hadi siku.
Kuuita utafiti wa mtaalam kuwa finding zake ni uchwara ni kuukosea utaalam wa aliyefanya huo utafiti. Tujifunze tu kutambua findings za wengine hata kama findings zako unaziona ndio sahihi kuliko za mwenzako.
Hata hivyo subject matter ilikuwa uwepo wa 5G. Watumiaji wa WhatsApp hata 2G unatumia bila shida. Kabla ya kutaka kuboshana unatakiwa kuelewa data na subject matter kabla kuhukumu uchwara wa data zinazotokana na findings za utafiti.
Kwakua hiyo mitandao tunafaidika na nini? Bando zao ghali huduma mbovu, stalink aje haraka.Conclusion. Tusiharakie Starlink,
Yaani miaka yote waliopo hauoni faida zake? Acha hizo hapa penyewe tunawasiliana kwa msaada wa hao watoa huduma. Hivi watu mtaiweza starlink? Na starlink inatumiwa sana na watu wa vijijini, je wataweza gharama? Au Hela za kununua starlink awekeze kwenye shamba?Kwakua hiyo mitandao tunafaidika na nini? Bando zao ghali huduma mbovu, stalink aje haraka.
Kama wao mitandao ya simu wamekuja basi na starlink aje haraka, suala la kumudu gharama hata hiyo mitandao ya simu wapo watanzania hawamudu gharama zao, mitandao ya simu ni wafanya biashara wanao lipa kodi, na starlink nao watalipa kodi itakua faida kwa taifa.Yaani miaka yote waliopo hauoni faida zake? Acha hizo hapa penyewe tunawasiliana kwa msaada wa hao watoa huduma. Hivi watu mtaiweza starlink? Na starlink inatumiwa sana na watu wa vijijini, je wataweza gharama? Au Hela za kununua starlink awekeze kwenye shamba?
Yeah. Me sijapinga uwepo wao hao Starlink. Ila by the way 5G ni Bora kuliko starlink hiyo ni fact.Kama wao mitandao ya simu wamekuja basi na starlink aje haraka, suala la kumudu gharama hata hiyo mitandao ya simu wapo watanzania hawamudu gharama zao, mitandao ya simu ni wafanya biashara wanao lipa kodi, na starlink nao watalipa kodi itakua faida kwa taifa.
Shida ya hiyo 5G inapatikana mijini tu, sasa bora starlink ambayo itapatikana popote kwa mwenye uwezo.Yeah
Yeah. Me sijapinga uwepo wao hao Starlink. Ila by the way 5G ni Bora kuliko starlink hiyo ni fact.
Da, upo nyuma sana. Wakati wenzetu huko juu wanatembea, sisi huku tunatakiwa kukimbia kwa kasi sana ili anagalau tuwakaribie. Kama kuna technolojia inayokwenda kuifanya jamii yetu kwenda kasi kimaendeleo na mawasiliano hiyo tuikumbatie kwa nguvu zote. Satellite link ipo kila pahali duniani, hivyo na internet itapatikana kote nchini bila kujali kutokuwepo kwa minara ya simu mahali husikaConclusion. Tusiharakie Starlink,
Umejikita katika kubishana zaidi, mimi siwezi kubishana, so tuishie hapa mkuu.Leta takwimu zake specifically for Tanzania
Kila kitu kina faida na hasara. Hata hiyo starlink kwenye Hali mbaya ya hewa haitoboi(rejea: Rain fade). Starlink haitoboi mbele ya 5g mzee!Da, upo nyuma sana. Wakati wenzetu huko juu wanatembea, sisi huku tunatakiwa kukimbia kwa kasi sana ili anagalau tuwakaribie. Kama kuna technolojia inayokwenda kuifanya jamii yetu kwenda kasi kimaendeleo na mawasiliano hiyo tuikumbatie kwa nguvu zote. Satellite link ipo kila pahali duniani, hivyo na internet itapatikana kote nchini bila kujali kutokuwepo kwa minara ya simu mahali husika
Nimependa mana hadi vijijini unaweza ku access internet tena kwa spidi kali sana.Shida ya hiyo 5G inapatikana mijini tu, sasa bora starlink ambayo itapatikana popote kwa mwenye uwezo.