MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Sio jambo baya, Ila mmechelewa sana.
Hapo angalao milango ya bahati kuelekea mechi ijayo itafunguka ,na sii ile ya kubeba mbuzi kwenye basi.
Hii ni baada kugomewa kuingia uwanjani. Hujaona video.Vibabu vimeenda kwa MKAPA havimtaki Meneja wa Uwanja anawabania. Wanamtaka aendd likizo hata ya muda mfupi tu mpaka wamalize jambo lao. Wanadai wameshaenda mpaka kwa Waziri ili jamaa apishe lakini amegoma.Hapo angalao milango ya bahati kuelekea mechi ijayo itafunguka ,na sii ile ya kubeba mbuzi kwenye basi.
Utakua tajiri Simba akitoka?Simba kinacho kwenda kuwatafuna kinaitwa Karma, ule ushenzi waliomfanyia Yanga asivuke unaenda kuwarudia.
Ata wangewaita Mashehe, mitume na Manabii wote Nchini na Nje ya nchi, Haita wezekana.
Ni swala la muda tu, Karma inakwenda ku Revenge.
Kwani mimi ndio naitoa Simba!!Utakua tajiri Simba akitoka?
Ukiona mtu ana andika kwa capital letters usijiulize maswali mengi akili hanaFIKRA ZA MAFUKARA WA TANZANIA.KAMA.AINA YA MTOA MADA..HALAFU MNASEMA ETI NO REFORM NO ELECTION..MNAUMWA NYIE ..CCM ITATAWALA MILELE KWA AKILI HIZI.
Kama mama yako.Ukiona mtu ana andika kwa capital letters usijiulize maswali mengi akili hana
Utakua tajiri ama utabaki na ufukara wako Simba ikitoka?Kwani mimi ndio naitoa Simba!!
Kumbe wewe ni Mama yangu! Samahani MamaKama mama yako.
Kama mama yako.Kumbe wewe ni Mama yangu! Samahani Mama
No reform no ERECTION in our marriagesFIKRA ZA MAFUKARA WA TANZANIA.KAMA.AINA YA MTOA MADA..HALAFU MNASEMA ETI NO REFORM NO ELECTION..MNAUMWA NYIE ..CCM ITATAWALA MILELE KWA AKILI HIZI.