6 Months experience na TTCL Fiber

6 Months experience na TTCL Fiber

Sorry for late reply,,my advice kwanza inatakiwa ujue fortnite au game lolote lina server wapi jirani na Tanzania...server nyingi za jirani za games zipo south africa especially Johannesburg..
-TTCL FIBER ROUTING YAO KWENDA SOUTH SIO NZURI SANA... labda ukitumia vpn services zenye server za south africa
-Kwa mitandao ya simu Voda ni the best kwa low ping... me napata 23ms kwenye simu ya 4g
Mimi nilitumia tunnel bear nikaconnect ya kenya nilipaata ping ya 80 mpaka 120 kabla ya hapo nikikua napata 200 mpaka 250 sema tunnel bear ukitumia sana fortnite wanadetect so inakua ngumu kucheza mechi ila nikizima vpn unaingia unacheza vzuri tu, so ukitumia express au nord ambazo ni official vpn fortnite hawakudetect kama unatumia vpn izo, so bora zaidi kati ya hizo mbili. I hope fortnite wataweka server ata tatu huku africa. Na kuhusu south Africa kuna washkaji zangu wa epic friends wanapataga ping 200 na wao na huku bongo kuna mwamba ye anatumia zuku ile ya 20mbps anapataga ping nzuri tu ya 85 mpaka 100ms. So nilichojifunza kwenye kupunguza ping ni usitumie kwanza wifi kwenye maswala ya gaming, Tumia ethernet cable cat6 au cat6e na uwe unatumia isp wa fiber na pia unweza nunua gaming router ukafanya bridge na router wa isp yako. Izo njia zitapunguza ping kidogo na zingatia wire wa ethernet ukichukua hakikisha ni Cat6 na sio cat zingine.
 
Nataka nichukue lakni ile ya 100k 40mbps na focuss sana sana kwa gaming maana nilishachukua airtel 5g na voda 5g zote zinazingua ata nikitumia kwa njia ya ethernet zilikua zinazingua voda nilikua nalipia 150k ya 50 mbps na airtel 110k ya 30mbps. Sasa nataka nitry ttcl nione itakuaje. Kuna Mtu yoyote ashatumia fiber na alishalipia ya 100k 40mbps aniambe speed yake ya download inaendaje?
South Africa kuna washkaji zangu wa epic friends wanapataga ping 200 na wao na huku bongo kuna mwamba ye anatumia zuku ile ya 20mbps anapataga ping nzuri tu ya 85 mpaka 100ms. So nilichojifunza kwenye kupunguza ping ni usitumie kwanza wifi kwenye maswala ya gaming, Tumia ethernet cable cat6 au cat6e na uwe unatumia isp wa fiber na pia unweza nunua gaming router ukafanya bridge na router wa isp yako. Izo njia zitapunguza ping kidogo na zingatia wire wa ethernet ukichukua hakikisha ni Cat6 na sio cat zingine
 
Unaweza ona kwenye izo screenshot..
Picha namba 1 ping ni 5 ukiconnect na server ya Dar es salaam.
Picha namba 2 ping ni 224 ukiconnect na server ya Johannesburg.
Picha namba 3 ping ni 219 ukiconnect na server ya Nairobi.
Picha namba 4 ping ni 180 ukiconnect na server ya Paris.
Picha namba 5 ping ni 21 ukiconnect na server ya Mwanza.
Kama untaka kuvhek ping gza games nendakwenye website zo hio sio njia ya kuchek ping za games mkuu https://www.epicgames.com/help/en-U...anding-latency-or-ping-in-fortnite-a000084889
 
Unaweza ona kwenye izo screenshot..
Picha namba 1 ping ni 5 ukiconnect na server ya Dar es salaam.
Picha namba 2 ping ni 224 ukiconnect na server ya Johannesburg.
Picha namba 3 ping ni 219 ukiconnect na server ya Nairobi.
Picha namba 4 ping ni 180 ukiconnect na server ya Paris.
Picha namba 5 ping ni 21 ukiconnect na server ya Mwanza.
 
Attachments

  • IMG_1409.png
    IMG_1409.png
    192.5 KB · Views: 10
Mimi nilitumia tunnel bear nikaconnect ya kenya nilipaata ping ya 80 mpaka 120 kabla ya hapo nikikua napata 200 mpaka 250 sema tunnel bear ukitumia sana fortnite wanadetect so inakua ngumu kucheza mechi ila nikizima vpn unaingia unacheza vzuri tu, so ukitumia express au nord ambazo ni official vpn fortnite hawakudetect kama unatumia vpn izo, so bora zaidi kati ya hizo mbili. I hope fortnite wataweka server ata tatu huku africa. Na kuhusu south Africa kuna washkaji zangu wa epic friends wanapataga ping 200 na wao na huku bongo kuna mwamba ye anatumia zuku ile ya 20mbps anapataga ping nzuri tu ya 85 mpaka 100ms. So nilichojifunza kwenye kupunguza ping ni usitumie kwanza wifi kwenye maswala ya gaming, Tumia ethernet cable cat6 au cat6e na uwe unatumia isp wa fiber na pia unweza nunua gaming router ukafanya bridge na router wa isp yako. Izo njia zitapunguza ping kidogo na zingatia wire wa ethernet ukichukua hakikisha ni Cat6 na sio cat zingine.
kwa VPN za gaming try exitlag. ni superb sana...ishu kubwa kwa isp wengi wa bongo ni routing.. hususani baada ya tatizo la kukatika kwa nyaya...
-Exitlag wanasolve tatizo kwa kuconnect na server yenye latency ndogo kwenda kwa selected server. Kwa mfano ukiconnect na Dubai server, Exitlag wanakoroute mainly to nairobi then to Dubai.
-Kenya wana advantage kwa sababu wana route ya moja kwa moja kwenda Middle east, kwa FC 24 wanapata around 60ms ping wakitumia Dubai Server au Bh Manama Server..
-Kwa Bongo nikitumia Exitlag kuconnect na Johannesburg server napata from 60-70ms ping na ISP ni voda normal 4g connection.
-Before outtage ya internet, TTCL fiber nilikua napata 52ms to Johannesburg and 75ms to Dubai server.
-Tunnel bear wana options mbili kwa Kenya Estnoc na Angani server.. Hakikisha unaconnect na Estnoc ina lower ping to Tanzania..
-Kwa issue ya Fortnite sijajua sana kwa kuwa sijawahi kulicheza ila kwenye exitlag options zipo.
kwa chini unaweza ona attachments kwa taarifa zaidi.
1. Screenshot 133 and 134 inaonesha ping and route when connected to Johannesburg Server
2. Screenshot 135 inaonesha Isp used ambae ni Vodacom.
3. Screenshot 137 inaonesha ping kwenye Fortnite when connected to Capetown Server. isp Vodacom .
 
Attachments

  • Screenshot (133).png
    Screenshot (133).png
    82.2 KB · Views: 10
  • Screenshot (134).png
    Screenshot (134).png
    79.2 KB · Views: 8
  • Screenshot (137).png
    Screenshot (137).png
    55.3 KB · Views: 6
  • Screenshot (135).png
    Screenshot (135).png
    59.7 KB · Views: 7
Voda wako vzuri kwa gaming ila zuku fiber ndo bora zaidi lakn kama jamaa alichosema apo unaweza tumia vpn tu kma express au nord nakushauri kati ya hizo mbili tu maana zingine unaweza baniwa
-nord na Express ni gharama,,Exitlag ni best alternative na ni cheaper per month na ina route nzuri kwa gaming.
- shida ya Fiber ni kwa maeneo machache.
 
Ishu ya exitlag huwezi kutumia kwenye console ni pc tu ndo maana nashauri express au nord vpn unaweza kutumia kwenye pc, ps5 na xbox pia
 
kwa VPN za gaming try exitlag. ni superb sana...ishu kubwa kwa isp wengi wa bongo ni routing.. hususani baada ya tatizo la kukatika kwa nyaya...
-Exitlag wanasolve tatizo kwa kuconnect na server yenye latency ndogo kwenda kwa selected server. Kwa mfano ukiconnect na Dubai server, Exitlag wanakoroute mainly to nairobi then to Dubai.
-Kenya wana advantage kwa sababu wana route ya moja kwa moja kwenda Middle east, kwa FC 24 wanapata around 60ms ping wakitumia Dubai Server au Bh Manama Server..
-Kwa Bongo nikitumia Exitlag kuconnect na Johannesburg server napata from 60-70ms ping na ISP ni voda normal 4g connection.
-Before outtage ya internet, TTCL fiber nilikua napata 52ms to Johannesburg and 75ms to Dubai server.
-Tunnel bear wana options mbili kwa Kenya Estnoc na Angani server.. Hakikisha unaconnect na Estnoc ina lower ping to Tanzania..
-Kwa issue ya Fortnite sijajua sana kwa kuwa sijawahi kulicheza ila kwenye exitlag options zipo.
kwa chini unaweza ona attachments kwa taarifa zaidi.
1. Screenshot 133 and 134 inaonesha ping and route when connected to Johannesburg Server
2. Screenshot 135 inaonesha Isp used ambae ni Vodacom.
3. Screenshot 137 inaonesha ping kwenye Fortnite when connected to Capetown Server. isp Vodacom .
Unatumia isp gani mkuu?
 
Hii huduma kutoka TTCL nmeifatilia tangu Tarehe 28.03.2024, ndo nlituma maombi,kla mpaka leo sijawahi kuipata. Watu wako maofisini hata huwezi kuelewa wanafanya nini🙌🙌
 
Maombi ni mengi wanaelemewa nadhani, kumbuka mteja halipii gharama yoyote kuunganishwa.

Wakifanya kama tanesco uanze kulipishwa nguzo na equipments zote nadhani waombaji wangekua wanahesabika, kwa hiyo tuvumilie tu.
 
Uvumilivu usiokuwa na ukomo ni wehu! Kati ya weakness zenu zinazokera ni kutoa taarifa za uongo kwa mteja na pia kutotoa mrejesho kwa wakati.
Mtu nmetuma maombi yangu,mmeshajua niko eneo gani na mnajua kwa eneo husika miundo mbinu yenu haiwezeshi huduma kupatikana haraka eneo ilo,mpeni taarifa mteja na zisiwe tu taarifa bali taarifa sahihi na za kweli. Mwambieni bhana hapo ulipo kukufikia ni baada ya miezi mitatu.
Ntakupa mfano,last saturday nlikwenda Mlimani City duka la Ttcl,nkamkuta mzee mmoja pale,nkaongea nae akatoa majibu ambayo unaona kabisa huu ni uongo tu. Nkatoka nkaenda duka la Halotel,wakanipa namba ya Technician wao niwasiliane nae,nikampigia simu akanielekeza kwamba kwa urahisi ntumie current location ya eneo unalotaka hiyo huduma. Jioni yake of the same day akanipigia,akanieleza kwamba kwa mtambo wao mahala ulipo na mm nnapotaka huduma ni mbali na hivyo haiwezi kuwa haraka mimi kupata huduma husika. Unaona kabisa level of professionalism,Ttcl sasa😂😂. Jibu la yule jamaa halikuwa zuri kwangu lakini nlifurahi jinsi nlivyopata mrejesho upesi na nlilidhika kabisa
 
Nasikia kuipata ni mtihani ikibidi uwe na mtu ndani, ni kweli?
No! Tena walikuwa na ofa, unaungwa kwenye huduma kama mteja mpya kwa kulipia kifurushi tu. Sema kuna baadhi ya maeneo hawajafika bado.

Ila, shida kuu ya TTCL Fiber ni Huduma kwa Wateja, unaweza kukata hata wiki huna hupati internet na hawakufidii hadi uandike barua kwa Mkurugenzi.

Labda cha kufanya mshike sana yule anayekufungia, siyo kutegemea watu wao wa kituo chao cha huduma kwa wateja.

Ova
 
Uvumilivu usiokuwa na ukomo ni wehu! Kati ya weakness zenu zinazokera ni kutoa taarifa za uongo kwa mteja na pia kutotoa mrejesho kwa wakati.
Mtu nmetuma maombi yangu,mmeshajua niko eneo gani na mnajua kwa eneo husika miundo mbinu yenu haiwezeshi huduma kupatikana haraka eneo ilo,mpeni taarifa mteja na zisiwe tu taarifa bali taarifa sahihi na za kweli. Mwambieni bhana hapo ulipo kukufikia ni baada ya miezi mitatu.
Ntakupa mfano,last saturday nlikwenda Mlimani City duka la Ttcl,nkamkuta mzee mmoja pale,nkaongea nae akatoa majibu ambayo unaona kabisa huu ni uongo tu. Nkatoka nkaenda duka la Halotel,wakanipa namba ya Technician wao niwasiliane nae,nikampigia simu akanielekeza kwamba kwa urahisi ntumie current location ya eneo unalotaka hiyo huduma. Jioni yake of the same day akanipigia,akanieleza kwamba kwa mtambo wao mahala ulipo na mm nnapotaka huduma ni mbali na hivyo haiwezi kuwa haraka mimi kupata huduma husika. Unaona kabisa level of professionalism,Ttcl sasa😂😂. Jibu la yule jamaa halikuwa zuri kwangu lakini nlifurahi jinsi nlivyopata mrejesho upesi na nlilidhika kabisa
Mimi ni mteja tu mkuu, naona umeniparua kwelikweli.

Nilichosema hapo ni hali halisi kwa aina ya huduma zinazokua subsidised na serikali, kunakua na michakato kibao, unakuta vifaa vimeisha mpaka vije kununuliwa hapo mlolongo wa kutosha kama unavyojua mambo ya serikali.

Kwa hiyo siwatetei ila tu nimejaribu kuelezea changamoto kwa hao watu.

Kiukweli wateja ni wengi sana na ni fursa nzuri kwao TTCL kama wataboresha uharaka wa kuunga wateja wapya, naimani watapata pesa nzuri kabisa.
 
Back
Top Bottom