Jammu Africa
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 530
- 59
Vyombo vya habari Kenya vimeripoti kuwa "MAWAKILI nchini wamekosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu wa kukataa hati ya kiapo iliyokuwa na ushahidi uliodaiwa kufichua dosari za uchaguzi katika kesi ya kupinga ushindi wa Rais Mteule Uhuru Kenyatta" (kwa mujibu wa SwahiliHub).
The same LSK,,,, ambao walikua wameiomba supreme court eti wahusike kortini katika
hiyo kesi,,,kama marafiki wa korti na kuisaidia na ufafanusi wa sheria.
Ombi lao likatupwa mbali pale,,,,lawyers on defense side produced evidence
to show how LSK had been critical of IEBC and so not fit to participate.
So,,,LSK do not love the supreme court,,,,as simple as that.
Who is the chairman of LSK????? Eric Mutua,,,,,kutoka wapi????????
Tahadhari,,,sana,,,,,siasa za Kenya,,,,,hauwezi kutafautisha,,,,,
Shetani na Malaika.:wink::wink:
For,,,,you will need,,more than a biometric of anything,,,,,kujua baina ya nini na nani.