7 7 ya mwaka 2026 imenionyesha mambo ambayo kwa hakika sijayaelewa

7 7 ya mwaka 2026 imenionyesha mambo ambayo kwa hakika sijayaelewa

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,643
Reaction score
5,733
Ilikuwa hivi; tuliamua tukae sehemu ili tubadilishane mawazo na kweli tulikuwa wengi tu na moja kati ya mada ambayo imenifanya niandike hili ni namna ya kufanikisha kimaisha.

Kuna mmoja kifedha yupo vizuri tu. Sasa kauli alioitoa ya kwamba yeye alikuwa anakula mihogo analala ndio kabisa hainiingi akilini coz baada ya kumuuliza kuwa kwani wengne tukila mihogo hatulali?

Hiyo moja, lingine oo lazima ujinyime ndo ufaulu nkamuuliza kujinyima kivipi akaniambia mambo hayaeleweki. Kwa tafsiri yake ni kuwa usitumie pesa utunze tu hadi mwisho utafanikiwa. Jamani kweli unaweza ukatunza hela afu mtu wako akaugua usimpeleke hos kisa kujinyima na kusave.

Kuna mda itafika tudanganyane hadi iwe kero. Swali langu ni: kwa mliofanikisha mlitumia njia ipi hadi kufikia hapo mlipo? Tiririka wengi tujifunze.
Salaam badae.
 
Kama umetokea familia duni alichokwambia ni sahihi ili upate mtaji japo pia muombe sana Mungu usipate majanga yeyote katika kipindi hicho cha kutembelea power saving mode

Unless uwe talented na nusu otherwise ni lazima usave kwa kujitesa sana maana resources ziko limited kwako bila kusaha kujifunza skills walau mbili tatu maana ujuzi ndio unatuokoa sana sisi kina nanilihiii.
 
well said broo
 
7/7 mlienda n kwenye mabembea kule?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom