well said brooKama umetokea familia duni alichokwambia ni sahihi ili upate mtaji japo pia muombe sana Mungu usipate majanga yeyote katika kipindi hicho cha kutembelea power saving mode
Unless uwe talented na nusu otherwise ni lazima usave kwa kujitesa sana maana resources ziko limited kwako bila kusaha kujifunza skills walau mbili tatu maana ujuzi ndio unatuokoa sana sisi kina nanilihiii.
kwenye mabembea ndo unapajua tu. Kazi tunayo kwa kweli7/7 mlienda n kwenye mabembea kule?
Kazi ni kipimo cha utu