7 Most evil people who have ever lived in the World

7 Most evil people who have ever lived in the World

Most evils ni Bush na Tony Blair kama tukisema ukweli maana wao wameuwa zaidi ya waislam Milioni 3

Halafu kuhusu Idd Amin inaonekana wewe ni mfuasi wa Nyerere maana ndio alitulisha matango pori

Waislam milioni 3[emoji15]
 
Kama ni kweli, kwa nini waganda walisaidia sana wanajeshi wa Tanzania kumfurusha Amin dada fasta?!
Nani kakwambia kwamba tulisaidiwa na waganda? Ele vita ilikuwa ni balaa. Ingekuwa ni zama hizi za Aljazeera mbona tungeona vitu vya ajabu sana.
 
Evils kwa watu wao ?!!!

Ama evils kwako ?!!!

Hata wewe unaweza kuwa EVIL kwangu nami nikawa hivyo kwako....

Maisha ya KUKARIRI TU hayatusaidii.....
 
HUJUI CHOCHOTE NAMBA 1 WEKA MFALME NERO MAANA HISTORIA INAPOMTAJA NERO ANATAJWA (NERO YULE KATILI) NAS SIO NERO BIN FLAN WA 2 WEKA MAPAPA WOTE WA ROMA ENZI YA GIZA MPAKA SAIV ( PLUS ALL JESUITS) over[emoji40][emoji855][emoji856]

Yule ndezi Nero wa Roma alaaniwe sana yule, jamaa alikuwa anachoma mpaka miji utadhani utadhani anachoma mkaa vile.
Jamaa alikuwa anawachemsha watu kwenye maji mpaka kifo
 
Ulijuaje kama wote ni waislam shekh

Afghanistan waliuwawa 270,000 walikuwa waislam
Iraq 460,000 kwa kuwa wapo na wakristo ila wengi walikuwa waislam
Somalia 100% ni waislam na waliuwawa wengi pia ingawa na USA soldiers walisulubiwa mpaka wakakimbia

Ukweli ni kwamba walikuwa wanashambulia nchi za kiislam tu ndio maana wakasema ni 3m muslims killed sio mimi niliehesabu au kujua dini zao bali logic pia
 
Back
Top Bottom