7 Most evil people who have ever lived in the World

7 Most evil people who have ever lived in the World

Wale wote wapo kinyume na mataifa ya magharibi ndo utawaona hapo. Lakin wale waliokuwa wanaua kwa maslahi ya magharibi huwezi kuwaona hapo, watu kama;
1. Augustino Pinochet- Chile
2. King Leopold 2- Belgium
3. Noriega- Panama
Hivyo acha kutumika kama kibaraka
 
Uwezi kuamini jumuia ya mwanzo ya EA ilivunjika kwa sababu tu Mwalimu hakuwa tayari kukaa meza moja na Field Marshal Idd Amin.
Amini akaona isiwe tabu, tugawane mbao. Just like that. Jumuiya ikavunjika.
Huyo mchonga meno alikuwa mbaguzi sana! Nyerere he was evil than Amin
 
Kabisa mkuu!
They are not objective..
Wanaangalia kila jambo kwa muktadha wa dini tu.
Wanatetea muovu yeyote kwa kuwa tu ni wa dini yao!!!
Nandio unakuta mtu anasema mtoe idd amin alikua anaswali sala tano sio muuaji muweke nyerere, sasa namwingine akisema nyerere alikua anasali rosali kila siku tumtoe itakuaje.
 
Yan watu wanaotaja dini hua wanaongoza kuharibu nyuzi humu

Wewe ndio hupendi uislam katika comment zako nyingi
Mleta mada kaandika Wayahudi jews waliuwawa ila hilo hukuliona
Kwenye takwimu zozote dini,Kabila, na hata jinsia huwa zinatajwa

Huoni wewe ndio Mdini hapo
 
Yooote uliyoandika yanaweza kuwa sawa. Japo wengine wamesingiziwa. Mf ni Idd Amin. Alichafuliwa sana na nchi za magharibi wakimshirikisha Mwalimu Nyerere.

Amin alikuwa bora na anabaki kuwa bora kuliko rais yoyote aliyewahi kuitawala Uganda.
WAGANDA mbona nao wanasema Amini alikuwa katili sana? ni kwa nini Amini alipofariki hakuletwa kwa heshima kuzikwa nchini kwao baada ya kufa? Nyerere ndio alimzuia?
 
Absolutely true

Jamaa lilikua msitari wa mbele kuhakikisha wanyonge wanaipata haki yao ikiwemo Palestina
Huyo Idi Amin anafanya nini hapo? Anawashinda wale watawala makatili wa kizamani kama kina Ghenghis Khan?
Kwa hiyo zile stori za kuwa dump watu kwenye mto kagera ilikuwa ni fix?
WAGANDA mbona nao wanasema Amini alikuwa katili? ni kwa nini Amini alipofariki hakuletwa kwa heshima kuzikwa nchini kwao baada ya kufa kama alikuwa akipendwa? Nyerere ndio alimzuia?
Mbona hakuna maadhimisho ya uongozi wake au kifo chake au lolote?
 
Back
Top Bottom