Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
Most evils ni Bush na Tony Blair kama tukisema ukweli maana wao wameuwa zaidi ya waislam Milioni 3
Halafu kuhusu Idd Amin inaonekana wewe ni mfuasi wa Nyerere maana ndio alitulisha matango pori
Kama ni kweli, kwa nini waganda walisaidia sana wanajeshi wa Tanzania kumfurusha Amin dada fasta?!..Amin alikuwa bora na anabaki kuwa bora kuliko rais yoyote aliyewahi kuitawala Uganda.
Waislam milioni 3[emoji15]
Iraq, Afghanistan, Somalia, Syria, na nchi zingine kadhaa kote huko na kwingine ambapo wana mkono wao kama Lebanon
Nani kakwambia kwamba tulisaidiwa na waganda? Ele vita ilikuwa ni balaa. Ingekuwa ni zama hizi za Aljazeera mbona tungeona vitu vya ajabu sana.Kama ni kweli, kwa nini waganda walisaidia sana wanajeshi wa Tanzania kumfurusha Amin dada fasta?!
Benito musolini yuko wapi?
Benito musolini yuko wapi?
Putin,xi Jing,Kagame
Thanos?
Wapiganaji wastaafu wa hiyo vitaNani kakwambia kwamba tulisaidiwa na waganda?
Huyo Idi Amin anafanya nini hapo? Anawashinda wale watawala makatili wa kizamani kama kina Ghenghis Khan?
Na hakukua na ulazima wa Vita ya kagera, nyerere alikurupuka paleKweli mkuu! Nyerere alimchafua Sana Amini
HUJUI CHOCHOTE NAMBA 1 WEKA MFALME NERO MAANA HISTORIA INAPOMTAJA NERO ANATAJWA (NERO YULE KATILI) NAS SIO NERO BIN FLAN WA 2 WEKA MAPAPA WOTE WA ROMA ENZI YA GIZA MPAKA SAIV ( PLUS ALL JESUITS) over[emoji40][emoji855][emoji856]
Ulijuaje kama wote ni waislam shekh