7 Most evil people who have ever lived in the World

Hata mtu awe bingwa wa research vipi huwezi kupata takwimu za uhalisia data za wote walio wahi kuishi ulimwengu na kuja na hitimisho kama hili.
 
Ila kiukweli watu wats kama hao HUWA nawapenda sana [emoji1787][emoji1787]wanachangamsha nchi na dunia sio mnakaa tu nchi inapoa na dunia inapoa mpaka kero
 
Ila kiukweli watu wats kama hao HUWA nawapenda sana [emoji1787][emoji1787]wanachangamsha nchi na dunia sio mnakaa tu nchi inapoa na dunia inapoa mpaka kero
Hizi kauli huwa tunazitoa kwa kuwa hamjakutana na mikono ya hao watu. Kuna familia hapa hapa TZ bado zina majeraha ya tukio la kulipuliwa bomu ubalozi wa Marekani na hao unaowasifu wanachangamsha Dunia.

Kuchangamsha dunia ni kutoa roho za watu wasio na hatia?!
 
We mbwa kweli! Toka lini iddi amini na sadam Hussein wakawa evil? Mbwa we je Bibi yko nae ni evil? Muweke na yule wa pale karibu na kiabakari butiama kenge we
Bora angekuweka wewe kwenye list sio?
 
Kingereza sijui ila najuta hata kuimbishwa nyimbo za idi amina akifa nitamtupa kagera akaliwe na mamba ,, nakumbuka vike vitabu idi amin akiwa amebeba kikapu mbele kina vichwa vya watu na nyuma miguu ya watu ,, bora siku hizi hakuna mchaka mchaka mashuleni tulipotoshwa sana
 
Ila kiukweli watu wats kama hao HUWA nawapenda sana [emoji1787][emoji1787]wanachangamsha nchi na dunia sio mnakaa tu nchi inapoa na dunia inapoa mpaka kero
Ungeweza kuwa baby wa Idd amini?[emoji1787][emoji1787]
 
Idd Amin mtoe hapo anasingiziwa bure, hasa kwa top ten. Naamini hata top 1000 hayupo.

Halafu huo umri wake ni sahihi? Yaani 1971 anashika nchi kutoka ukuu wa majeshi alikuwa na miaka 19 tu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Baliani na Sadam .Sadam
Alikuwa kiongozi mzuri to Iraq Ata USA walimwomba awasaidie Gulf war .Sadam
Aliwasaidia wakaacha silaha baadae wakamgeukua oh Sadam ana weapon of mass destruction
 
Adolf Hitler, the Führer of the Nazi Party and Germany's chancellor from 1933 to 1945, was one of the most intellectual, inventive, and brutal dictators of all time. He was convinced that Jews were the source of all evils, and he set out to rid the world of them. As a result of his actions, about 50 million people died. On April 30, 1945, Ad. Hitler committed suicide in his bunker. It's hard to think he was once a great musician and member of the Bohemian.
Hawa wayahudi wanaanzisha vita Ukraine, Possible Adolf alikuwa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…