7 Most evil people who have ever lived in the World

Ila mwamba Gengis khan alitisha kuliko njaa yaani jamaa kuua ni jambo jepesi mno
Falme yake ilikumbwa na njaa, alichofanya ni kuwaita askari wake na kuwaamuru kupanga mstari.
Baada ya hapo aliwaambia wahesabu namba kila aliyefikia 10 aliuawa, na kufanyika chakula kwa wenziwe.
Kiufupi mtu ukiweka list ya miamba waliowahi kutikisa ulimwengu huyu jamaa lazima awepo
 
Amin na Saddam watoe hawakuwa that evil, weka King Leopold maana alichowafanyia wa Congo ni ukatili mkubwa sana na dunia mpaka leo inaufumbia macho.
Watu walikatwa mikono, mtoto anauawa kisa ababa yake kashindwa kusanya rubber ya kutosha.
Askari ilibidi kuwasilisha viganja kadhaa vya watu kama rubber haikutosha.
Hii dunia haiko fair.
 
..Mgogoro wake na magharibi ni baada ya kuwafukuza wahindi waliokuwa wanaiibia nchi kama ilivyokuwa hapa kwetu. Ref kina GV Chavdah. Wakamwanzishia zengwe. Propaganda kibao.
Wahindi ni wa magharibi?
Mbona kila baya mnawabambikia wa magharibi?
 
Idd Amin,kasingiziwa tu hapo.zikikuwa ni figisu za wazungu,baada ya jamaa kuwatosa wazungu,wazungu wakaamua kuzushia propaganda za kumchafua.na ile Vita isingetokea sema Basi tu kwa kuwa wazungu pia walikuwa hawamtaki Amin,ndo hivyo Amin naye akajichanganya ,zikqpigwa !! jasusi mbobezi mzee John malecela,alienda Uganda Kama convoy,kipnd Cha vuguvugu la uhasama,Amin alimchukua mzee wakiwa wawil tu kwenye gari la Amin ,mpaka katkat ya soko mjini Uganda ,na akasmama na kuahuka na John ,k8shwa akawaambia wananchi wa pale yy Amin Hana tatzo na nyerr,na Kama mnavyoona hapa amekuja malecela ambaye ni mtu wa karbu mno na mwal. ss sijui what happened mgogoro ukawa mkubwa mpaka tukazpiga.
 
Uwezi kuamini jumuia ya mwanzo ya EA ilivunjika kwa sababu tu Mwalimu hakuwa tayari kukaa meza moja na Field Marshal Idd Amin.
Amini akaona isiwe tabu, tugawane mbao. Just like that. Jumuiya ikavunjika.
lilikuwa shinikizo la magharibi na UK. so mwal.hakuwa na namna zaidi ya kukubak Kum ignore Amin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…