Tanzanian Dream
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 274
- 1,771
Huu uzi ni matokeo ya utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 15,nilifatilia matukio mengi ya watu wanaodai kutajirika kwa nguvu za ngiza,nilisoma vitabu vingi,niliongea na ma guru wengi na mwisho wa siku niligundua kanuni saba za asili ambazo mimi naziita 7 natural laws.
Ninaposema natural laws namaanisha kanuni za asili ambazo hazifungamani na dini wala mila yoyote,mtu yoyote anaweza kuzitumia na zikampa matokeo.
Nowdays kumekuwa na wimbi kubwa la watu kwenda kwa waganga,wanajimu na kwenye secret societies kwasababu hawajui namna ulimwengu wa roho unavyofanyakazi,uchawi na uganga ni tricky,ukichunguza kwa makini ndani ya masharti unayopewa utaona hizi 7 natural laws,wame copy mfumo mzima wa M-ngu then wakaongeza na mbwembwe zao ili kuvuta attention za wajinga.
Uchawi na uganga in business is all about these 7laws,kama umeshasoma ule uzi wangu wa "the dark side of business",itakuwa ni rahisi kuelewa hiki nnachosema..kwenye ile story hizi kanuni saba zote zipo,utazigundua kwa kufatilia yale maelekezo na masharti niliyokuwa napewa na mzee ngurumo na wale viumbe sita.
Let's get start
7 NATURAL LAWS OF BUSINESS
Hapa nitaongelea kanuni saba ambazo mtu anaweza kuzifuata na zikampa matokeo kwenye uwanja wa biashara.
FIRST LAW-the law of accessibility(no blood no access)
Hakuna mahali utakwenda kufanya biashara na kusiwe na spiritual barriers hata ungeenda mahali ambapo hakuna ushindani ni lazima utakutana na vizuizi,waganga wanajua access codes za maeneo ndio maana watakuambia lete njiwa au kuku ili atumie damu kupata access ya kuingia mahali,hii ni kanuni ya asili.
My mentor"mzee fabi"alikuwa na dumu la lita tano juu ya meza yake pale ofisini na Mara nyingi alikuwa akiniambia hii ni damu ya mwana wa M-ngu.....aliendelea kusema....
nikianzisha biashara,nikijenga nyumba,nikinunua shamba lazima nimwage hii damu"no blood no access!.
Kwenye damu kuna kitu kinaitwa prana au spiritual life force,prana ina uwezo wa kubeba maneno"spelling" na ku deliver manifestation,watu wa dark side waitumia kuwaingiza watu kwenye maagano"covenants" na kupata access za kiroho kwenye biashara,siasa,sanaa, michezo na maeneo mengine.
sisi wa light side,tunatumia damu ya mwana wa M-ngu,hii ni kanuni ya kiroho sio uchawi.
SECOND LAW-the law of philanthropy (giving is the foundation of business)
Watu wengi wanadhani kutoa tu sadaka kanisani au msikitini inatosha kuwainua kibiashara,si kweli,kwenye lugha ya kiroho, biashara ni nafsi inayojitegemea hivyo ni lazima na yenyewe itoe....(aliongea mzee fabi kwa msisitizo)
....aliendelea kusema...kuna tofauti ya wewe kutoa na biashara yako kutoa,hii ndio sababu kwanini makampuni makubwa yana philanthropic movements,kuna Ford foundation,JPB foundation,Tata trust, Bloomberg,Walton inc, Coca-Cola foundation,vodafone foundation na zingine nyingi,
(Aliongea mzee fabi)
......akaendelea kusema......
Giving is the foundation of business,without giving businesses can't grow into empires.
Ngoja nikufungulie hii code ya kutoa kibiashara,kama una target local market,angalia uhitaji wa ile jamii inayokuzunguka,hakikisha giving yako inagusa watu wa eneo lako la kibiashara,lisha maskini,somesha yatima,always find ways to give back to your community and G-d will bless you with his divine wealth.
THIRD LAW-agano la muda
Kwenye ulimwengu wa roho kila jambo lina time bounds,ukipewa masharti utaambiwa fanya hivi siku flani au saa flani,mganga anajua kinacholeta matokeo ni lile agano la muda na sio dawa zake,hii ni kanuni ya asili.
wazungu wamei master sana hii kanuni ndio maana wana ule msemo wao wanasema"ni bora uwahi saa moja kabla kuliko kuchelewa dakika moja"
Ngoja nifungue hii code,si kila muda ni agano,muda ambao ni agano ni ule ambao umepatana na mtu au M-ngu kufanya jambo flani,
make sure jambo lolote ambalo umelipangia muda lifanye kwa muda huo huo,Kama una wafanyakazi walipe kwa wakati,kwenye biashara yako uwe na muda maalumu wa kufungua na kufunga,pay your bills on time,rejesha mikopo yako kwa wakati,ukilaza mkopo unakuwa deni na deni kiroho ni kifungo(mifumo ya uchumi wa kidunia imesukwa kuwaingiza watu na nchi kwenye madeni,ili iwe sababu ya kuwabana kiroho) so ili kuepuka mitego,just do your things on time.
FORTH LAW-the law of concealment
Miongoni mwa masharti utakayopewa,utaambiwa"tunza Siri"
kwenye dark side kuna "secret societies,hizi ni organizations ambazo zinafanya mambo yao kwa siri sana,kwasababu kuna vitu ukiviweka wazi unavuta "evil eye"unapoteza glory na nguvu zako za kiroho,hii ndio sababu kwanini hata M-ngu ana operate in secret.
Kuna msemo wa kijapani unasema "In a strategy, secrecy is highly regarded"
Ngoja nikufungulie hii code,kwenye biashara kuna mambo ya kuweka wazi na kuna mambo ya kuficha,
kuna vitu vikubwa vitatu ambavyo unatakiwa kuvificha,jambo la kwanza ni mbinu zako za kibiashara,pili uwe na vyanzo vya mapato visivyoonekana na tatu ni next move yaani watu wasijue kitu gani utafanya next,washtukie umeshafanya.
Build your empire in silence,increase your glory, always be unpredictable usisomeke kirahisi na walimwengu.
FIFTH LAW-the law of concentration(focus yr energy onto capital growth)
Kuna wakati warren buffet na bill gates waliulizwa "kitu gani kimoja ukikifanya kitakupa uhakika wa kufanikiwa?"....wote walijibu", concentration"....if you can concentrate on doing one thing over a period of time, success is inevitable.
Based on my story in the thread "the dark side of business" nilisema 70% ya faida nilikuwa nairudishia kwenye mtaji na kila senti niliyokuwa napata kwenye side haso niliitupia kwenye mtaji,ilikuwa nikipata bonus nilibanwa niwekeze kwenye biashara,sikuruhusiwa kula bata kabisa,niliweka kila kitu changu kwenye biashara.
Mzee fabi alikuwa ananiambia,eneo muhimu zaidi kwenye biashara ni mtaji,jua namna ya kutengeneza,kutunza na kukuza mtaji...then M-ngu ataleta wateja.
Biashara zina vitu vingi but concentrate your energy in capital preservation and capital growth,this is how you can prevail in capitalistic economy.
SIXTH LAW- the law of separation
Ili uweze kupiga hatua flani za kibiashara,kuna watu unatakiwa kukaa nao mbali kwasababu kuna watu kwa asili wanatengeneza negative vibrations that drain your spiritual energies,ukiwa na spiritual intelligence ni rahisi kuwagundua watu wa hivyo na ni hekima kukaa nao mbali,unapotaka ku upgrade kibiashara kuna watu lazima ukubali kuwapoteza consciously.
Kuna sharti nilipewa na mzee ngurumo"nisimguse mwanamke kwa miezi sita,kibinadamu hili sharti lingenishinda kwasababu nilikuwa kijana na damu inachemka,kilichonisaidia ni pale mwanamke wangu(recho) alipohama,tukawa na unconcious separation,rafiki zangu wengi niliwapoteza nakumbuka hata mzee fabi walitaka nikae naye mbali,hii separation ni kanuni ya lazima uwe dark side,uwe light side,iwe conscious au unconcious.
Separate yourself from toxic people, pessimistic people, negative people,nay sayers and people without visions.
SEVENTH LAW-the law of association
Wakati M-ngu anaumba mtu alisema"tufanye mtu kwa sura yetu"... M-ngu ni mmoja lakini kwanini anaongea katika uwingi?,labda niseme hivi ule usemi wa "one man Amy" ni wa dunia ya kimwili,rohoni you can't stand alone,unahitaji spiritual and financial backup.
Hapa tanzania,kwenye tafiti zangu nimeona hawa jamaa wa dark side,wana back up kubwa sana kuliko watu wa light side,hii haimaanishi kuwa nguvu ya M-ngu wa light side ni ndogo..noo..namaanisha watu wa M-ngu hawana organisations za kiroho,hawana divine associations ambazo zinge act kama back up spiritually and financially,hizi back up zipo nyingi sana in the dark side,naongea haya kwa uchungu sana kwasababu mzee wangu,mzee fabi alikuwa na ndoto ya kuanzisha back up organization hapa bongo lkn mpk anakufa hakufanikisha ndoto yake.
Kwa upande wa dark side Kuna secret societies ambazo zina act kama spiritual and financial backup,ukiskia mtu anapata hela za miujiza mara hela za manyoka,hizo hela zinatokea kwenye hizo secret societies,ambazo unakuwa umeunganishwa kwa kujua au bila kujua.
Mfanyabiashara unatakiwa kuwa na network ya watu ambao ni supportive,watu wa kukushika mkono,smarter and richer than you.
to stay on top,always stands in the shoulders of giants.
Hitimisho
1.hizi 7 laws nimezijua kwa kuunganisha experience yangu na matukio na vitabu nilivyosoma,inawezekana zipo kanuni nyingi lakini hapa nimeandika saba kulingana na experience yangu.
2.sio rahisi ku master haya mambo yote saba kwa muda mfupi,anza na kile unachoweza then keep on improving gradually.
3.Read,read,read...soma sana vitabu,hasa vile vinavyokupa spiritual enlightenment,till now nimesoma biblia 7times,Genesis to revelation,reading is my life.
4.tengeneza library yako,uwe na vitabu vya kiroho,uwe na vitabu vinavyohusu biashara,mitaji,masoko na kila kitu kinachohusu biashara na vitabu vingine ambavyo ni non fiction.
5.wadau Pm yangu ina tatizo,nime report lakini naona tatizo bado,so Kama Kuna swali lolote,tuulizane hapa hapa na Kama Kuna kanuni umeona inafanya kazi na sijaiandika hapa basi unaweza kushare na sisi pia tujifunze....
Till next time
I am your fellow empire builder