Hapanandonga vipi ile changamoto yako imeshapata ufumbuzi
Ngoja niitype hapa
Nimedhurumiwa mzigo wa million 15.. Nimeenda mahakamani nimekosa support adui wangu kanizidi sina utundu wa mahakama
Nataka nipite darkside za kimahakama lakini nafsi inanikanya sijawai kuingia uko ww km mzoefu vip hapa
Damu ya kisasi nitakayoitoa huko haitanihukumu huko mbele?