Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,024
- 1,377
FIRST LAW-the law of accessibility(no blood no access)
Hakuna mahali utakwenda kufanya biashara na kusiwe na spiritual barriers hata ungeenda mahali ambapo hakuna ushindani ni lazima utakutana na vizuizi,waganga wanajua access codes za maeneo ndio
Asante sanaa mkuu kwa uzi wako tuliousubiri kwa hamu. Mungu akubariki sanaa mkuu.SEVENTH LAW-the law of association
Wakati M-ngu anaumba mtu alisema"tufanye mtu kwa sura yetu"... M-ngu ni mmoja lakini kwanini anaongea katika uwingi?,labda niseme hivi ule usemi wa "one man Amy" ni wa dunia ya kimwili,rohoni you can't stand alone,unahitaji spiritual and
Binafsi nimejifunza mengi sanaa kwenye "dark side of Business" nabaada ya kusoma ule uzi nimefuatilia kwa kina mambo ya kiroho kwenye bible, artcle za watumishi wa mungu na nikaprove its true.
Watu wengu tunasoma maandiko pasi kuelewa , nadhani hii inatokana na kuwa watumishi ambao hawapo deeply kiroho, wengine kukosa uelewa yaani hawatufunulii nini kipo chini ya pazia ili waumini wao tufunguke.
Kuna mchungaji amefundisha hii 1st Law, ("Matters of the blood" by Pastor Tony kapola) yaani niki relate na ishu yako ya "dark side of Business" naona kuna ukweli kwenye hili ni applicable Yaani (no blood no access)
Swali:
1. Tukiwa church huwa tunashiriki meza ya Bwana na kunywa as a Blood, Je hiyohiyo inaweza kumwagwa kwenye biashara au kiwanja na ikaprotect biashhara? Pia nawezakutumia mwongozo gani Kuomba? Yaani mimi mwenyewe au kumtumia mchungaji?
2. Seventh Law sijailewa mkuu naomba unieleweshe kwa kifupi tu, nikwanamna gani naweza fanya hii spiritual and financial backup?
3. Nilifunga biashara yangu mwezi August 2024 na nimeona kuna laws sikuapply ila now nimepata kitu. Ila kama umeajiri mtu anasimamia biashara ila kunamambo anafanya yanatia najisi biashara kama uzinzi,uwizi n.k vinaweza kuathiri biashara licha yakuiprotect spiritual?